Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Mimi sio mtu mzito kwa kweliNimeshasikia, kuwa nyie ni watu wazito , ila mnakaa kimya ,kitu ambacho kukaa kimya ili tusijue nyie ni watu wazito umeshafeli 🤔
Mimi sio mtu mzito kwa kweliNimeshasikia, kuwa nyie ni watu wazito , ila mnakaa kimya ,kitu ambacho kukaa kimya ili tusijue nyie ni watu wazito umeshafeli 🤔
Au akilewa 😂😂😂Kusema tu unasiri za watu , hauoni kuwa ambao una siri zao tayari ushawatia tumbo joto bwashee ,je siku ukichanganyikiwa?
Humu nyuzi za chai, kimasihara, na umbea ndio zinajaza watu zile zenye content mchangiaji mmojaKuna watu ni wapika chai wazuri humu, wakileta tu uzi watu wanacheka yanaisha, Ushawahi kujiuliza kwanini wanajulikana ni wapishi wa chai na watu hawana habari nao?
Kuna tofauti kati ya kufake character ili kuburudisha watu na kufake character kwa malengo tofauti. (Binafsi sijasema nimalengo mabaya msinishike shati 😅)
Namakomwe yetu lazma tutetee haki 😁Hili jambo nilishalitolea ufafanuzi kwenye vyombo vya habari lakini watu hawaelewi.
Ahsante mjomba angu kwa kurudia kuwaelimisha hawa vinyangarika wenye multiple IDs za kutapeli wanyonge.
Kabisa watu watakua tumbo joto😅Au akilewa 😂😂😂
Wew ni mzito madamMimi sio mtu mzito kwa kweli
Ambao hamtumii fb mnajisikia sana halafu hili ni kwa Tz tu sijui kwa niniWatumiaji wa facebook wengi wamehamia huku
Ni kweli mkuu ,humu kuna watu wale tunasema kwenye msafara wa mamba na kenge wapo ,Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani
Ni hayo tu
Mpaka hapa tu kutuhabarisha hili tayari ni tatizo mkuu bora zaidi ilikuwa ni kuendelea kukausha tuNina siri za watu kibao humu lakini hata akinikoseaje huku uraiani tutamalizana uraiani. Kuja kumuanika mtu humu JF sio ustaarabu kabisa, I cannot do that shit
Kutodanganya au kujivua nguoUnawezaje kuwa mwangalifu mfano
Nimeaanza kutumia facebook rasmi toka 2012 .Ambao hamtumii fb mnajisikia sana halafu hili ni kwa Tz tu sijui kwa nini
Unakihofia ulichokiandika mwenyewe, kisa kimekumbushwa upya??? Afya ya akili.Mtu hupitia hali nyingi katika maisha furaha, huzuni, tabu n.k
Mtu huyo huyo anaweza kuwa wa tofauti kulingana na hali alokuwa nayo siku hiyo sasa wewe wakimbilia kufukua makaburi ili iweje
Matatizo yako baki nayo bro, humu wenyewe tuna matatizo kibao......Ni kweli kabisa! Kwa tabia hizi za kulipuana na kufukua makaburi itafika kipindi hata kama una shida wahitaji msaada utashindwa kuleta humu jukwaani
Ni hayo tu
Kumbe hapo juzi tu bwasheeNimeaanza kutumia facebook rasmi toka 2012 .
NIlikua kijijini upareni nadhani sisi ndio tulikua waanzilishi kule milimani 😃Kumbe hapo juzi tu bwashee
Jamii za watu wafupi kama nyundo😅NIlikua kijijini upareni nadhani sisi ndio tulikua waanzilishi kule milimani 😃