Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Mifumo ya vita kwa sasa ni kujilinda , una launch Missles , then unaweka ballistic Missles defence system, hata huto ona kombora likidondosha skyscrapers hata moja
Sasa naye akijilinda si utakua mchezo wa kitoto vita hata hainogi..!!

Tokeni nje mdundane mazoea yaishe mkionana mnapeana salute 😹😹
 
Dawa ni kuuishi uhalisia wako na kuandika uhalisia wako.

Fake IDs hazimfanyi mtu aishi nje ya dunia hii ataishi humu humu tunamoishi wengine so tuandike ukweli vile tunaishi ili kuondoa hii sintofahamu.
Kibongo bongo ili uonekane una andika na kuishi uhalisia wako , ni mpaka useme ,mimi ni maskini , sina chochote , wanawake wananikataa , sijala leo , ninaumwa , nimepata ajali .

Ila ukisema unakula vizuri ,una afya mzuri , pesa zimejaa Bank, una familia yenye amani , ujue hapo ni vita ya tatu ya dunia.
 
Maisha ni haya haya hakuna mengine. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria wala kukera wanajamii wenzio. Ukiishi kwa kutaka ufurahishe watu yaani ni afadhali ufe tu maana maisha yako yatakuwa hayana maana yo yote! 🚮
Mimi somo la kuwafurahisha watu nilipata zero 😹😹

Sina rafiki wala adui wa kudumu..!! Sipangwingwi
 
Back
Top Bottom