Humu itafika kipindi tutaogopa kueleza matatizo yetu ili kupata ushauri au msaada

Ushauri wako umekaa poa Sana

But nje ya mada huyo hapo kwenye dp ni wewe?
 
Vitu ambavyo ukizingua lazima wakulipue

Kejel na dharau, tofauti na hapo wala hakuna atakae angaika na wewe.
Hizo ni traits za kila binadamu ni vile tu hatujiviki uhalisia tukiwa real ndio maana huku kwenye ufake unaona watu wanavyokuwa wahalisia zaidi maana hawajulikani
 
Hizo ni traits za kila binadamu ni vile tu hatujiviki uhalisia tukiwa real ndio maana huku kwenye ufake unaona watu wanavyokuwa wahalisia zaidi maana hawajulikani
Ni kuwatupia ignore tu wale unaona wanaweza kukukera na kuwapotezea huko.
 
Kumbe unaweza kumfata mtu pm kuomba hela ya Kula ukapewa?
Ngoja Nije mkuu Leo nimefulia Sana jamani plus ni wkend
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Kumbe nawe una roho ndogo unatunza waungwana kabatini??
Yeah nimewatunza viumbe 310 , nilitaka ku wa un ignore nikashindwa , nikapotezea tu , kwa sababu hata nisipo ona wanacho post sioni mapungufu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ