Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Hemu interpret vizuri nikuelewe what you mean..???
Mie nipo serious wewe upo serious je kama mtu nikaamua kuwa okay let see ukakutwa hauko serious ??
Naumedai upo serious .

Usinione natukana natania wananidhihaki I am very serious ndio mana nikatoka jf kutafuta walio serious ninao waona tuone
 
Mie nipo serious wewe upo serious je kama mtu nikaamua kuwa okay let see ukakutwa hauko serious ??
Naumedai upo serious .

Usinione natukana natania wananidhihaki I am very serious ndio mana nikatoka jf kutafuta walio serious ninao waona tuone
And reason kubwa ya haya yote unayoyasema umejua ni ipi....????
 
Kwa hiyo huku kuna wadangaji tu?

Wake wapo wapi vile?

By the way kwa nini wanaume mnatumia muda mwingi kutafakari mambo ya wanawake kuliko ya kwenu wenyewe?
Kila baya la mwanaume sababu ni mwanamke...over
 

Ni kweli kabisa humu hakuna Wife materials kabisa, Wanawake wengi wa humu ni w hovyo sana halafu wana stress za maisha na wamejificha kwenye id fake na avatar tu. Kuna Washikaji zangu kibao humu wameshaingizwa chaka mnooo. Ushauri kwa Vijana humu kujuana na Mwanamke wa humu iwe kwa ajili ya mambo mengine na sio ndoa na mahusiano. Kuna wanaume wadhaifu humu wanadhalilishwa sana na wanawake wa humu.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
NAKAZIA MKUU UKWELI NDO HUO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…