Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Unaongea pumba hakunaga mwanaume ambaye ni mmbaya kama hao matajiri wanachukua advantage hata Kwa hao maskini wahali ya chini asitumie hela zake wewe imba imba tu ujinga hapa eti walevo yangu unajua walevo yangu .Kwamba huko duniani uliko wanawake ndio wanamiliki pesa na vitu kuliko wanaume? Dunia ya wapi hiyo?
Wewe binafsi umewazidi kipato wanaume wangapi?
Wewe sema una bahati ya kukutana na mapunga, au huwa una date na vitoto vidogo kuliko wewe.
Siku zote mwanamke atafuatwa na wanaoendana nae (wanaommudu), huwezi kuwa wa low standard kisha utarajie kuvutia wanaume wanaojielewa.
We pambana na hao unaowavutia.
Sema kama unawajua au huwajui nikikupa mmoja unaweza kukimbia maana Hujui utaoffer Nini maana hata kingereza hukijui Kwa ufasa hatokuelewa mtakesha siku nzima