Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Mkuu hilo bwabwa maarufu la JF lenye IDs 8 wala lisikuumize kichwa,huyo anaonekana tu hata kichwani hayupo sawa.
 
Kuna watu wanaandika utumbo humu mfano bujibuji girlsles mwenye matako,mshana demiss manengelo tapeli,yoda shoga,

hawa wote ni wakongwe lakini wana akili za hovyo sana tokea zamani nawafatilia nikawazarau sana halafu wanajifanya wema sana
 
Kuna mwamba wakuitwa The List huyu aliisafisha JF kwa muda, wale wakuanzisha sredi za kipumbavu wakakimbia, wakuchat kwenye nyuzi za watu wakatafuta vichaka vya kujificha😁

Huyu aliruka mpaka na kina Mshana 😂 watu walikuwa wanamvizia siku aanzishe uzi wake waone madini, siku kashusha uzi wake kila aliyemchukia alikubali madini aliyokutana nayo halafu ndio siku yake ya mwisho jukwaani
 
Cc: binti kiziwi

Toa hoja ma mkwe
 
huku watu wanaheshimiana sana kwa reasoning ila unajidharau mwenyewe kwa maudhui yako kama ulivyo fanya
 
Kuna Jamaa alinitukana na akasema bora member wa zamani walikua na michango ya maana (akawataja)

Guess what 😂😂 Kwenye aliowataja na ID yangu ya kwanza ya kitambo ikatajwa... Niliishia kucheka tuu
 
Kuna Member mmoja aliniambia kisa we Platinum unanitishia maisha na kunidharau ? 😂😂😂 hayo sip maisha

Kupita pita nyuzi zingine anasema yeye ni Baba wa watoto na Mke 😆

Platinum aliitafsiri vibaya Mzee yule
Members wa 2022 kuendelea wana makasiriko sana,
Utadhani ni sisi tuliwachelewesha kujoin.
Wanalia "Oh Jf wameijua kitambo"
Sasa kama kitambo si mngejoin kama akina Ngabu.,kwani nani hakuijua jf kitambo?
Leo hii mtu wa 2022 analialia ID yake tuigroup sawa na ID za kina Kiranga.
 
Kidogo niwatukane nilikuwa nmesahau kama nilipoteza ID ya zamani, anyway kikao cha Gen Z wa JF ni lini
 
Maghayo naye abadilike sasa maana mwanetu yule habadiriki kabisa
 
🤣🤣🤣Namkumbuka huyu ni kama alikuja kwa operation maalum,(famous reply line yake ilikua ni rubbish🤣🤣) hasimu wake wa kwanza alikua somebody mambembe🤣🤣
The guy was real deal, straight from the trenches alikanyaga Hadi hao mnawaona top notch wenu .. The List
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…