Mtu akitamba wewe kinacho kutesa ni kipi?Shida sio kujoin 2023, tatizo linakuja pale unapoanza kujitapa ooh mimi mkongwe, unataka tukusaidie nini? Kama umejoin 2020 ishi kwa wakati huo hakuna sababu ya kuanza kututambia Id uliyoikimbia
Joined 2022 😀Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Wanasumbua sana hawa mahi 😁😂😂😂😂
Kwani yeye akitamba anapata nini?Mtu akitamba wewe kinacho kutesa ni kipi?
Inaniuma sana natamani irudi ile ni joined 2014 Ina heshima ilikuwa inatoa madini sana .Yani dogo kwa hili umeshinda. ID yangu ya Maghayo niliipenda sana. Uumbwaz weewee
Wewe ungekuwa unafuata maisha yako usingekujakututambia Id ya mwaka 2009, inatuhusu nini?Wanakusumbua kwa lipi na wewe una maisha yako?
Utajua mwenyewe bwanaKatamba tu kamaliza,ni malengo yake wewe hilo povu lako linakusaidia kitu gani kuhusu tambo zake?
Kwani mimi nimekusema wewe?Una ukimwi wa kifikra 🤔, wapi nimekutambia?
Pole sana naona minyoo imeshaanza kula ubongoKafie mbali bhana , ni wewe unajileta hapa sijakuita pumbavu
Wana jisahau na wao walikuwa new membersHakika mkuu si vema kumuignore mtu kisa new member
🤣🤣🤣 Mpumbavu kweli wewe ukiniweka ignore list umeambiwa napungukiwa nini?Tulia ignore , watu wenye ukimwi wa kifikra kama wewe nawaweka humo🚮