Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
😂Dada awe mkweli tu,apunguze makasirikoSijawai kujua kama jf kuna wauza uchi. Ila sasa napata wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Dada awe mkweli tu,apunguze makasirikoSijawai kujua kama jf kuna wauza uchi. Ila sasa napata wasiwasi
Kwanza tuanzie kwake yeye kajenga? ana maisha mazuri? Ana source of investment? Unaweza kuwasema wengine ikiwa upo tofauti na hao unawasemaInaonekana mapenzi yanakusumbua sana, achana nayo fanya vitu vingine.
Kwanza kabisa yeye ana maisha mazuri tuanzie kwanza kwake😂Dada awe mkweli tu,apunguze makasiriko
Unamuunga mkono mtoa mada?Ohoooo!!...ndiyoo..🍿🍿
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wahuku na mtaani wana tofauti gani mzee?Sijawai kujua kama jf kuna wauza uchi. Ila sasa napata wasiwasi
usikute lijamaa limerudisha muamala baada ya uchakataji (limekuta vipele vingi kuliko tiles)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wahuku na mtaani wana tofauti gani mzee?
Ana laana sio bure.Huyu manzi wahuni wote wanaingia mitini tu😂😂😂😂
Yani anSound Desperate kinomaAna laana sio bure.
Unamdharau vipi mtu anayelipwa millioni moja? Mbona mshahara mkubwa tu huo kwa mishahara ya Kibongo?Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa😂🤣🤣🤣 unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa