Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.

Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.

Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .

Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.

Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .

Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Sasa ungemwambia huko PM ingetosha.
 
Huyu duu anashida sana in reality ni mbaya alaf kakondeana ila kila siku kutunanga huku JF she's so insecure na ana wivu wa kijinga jinga! Huko Instagram ana followers 40k ila chakushangaza akipost picha anapata likes 10 au 15 mataqo umbw@ wewe!
Kwa ubaya nakubali ni m bad...choka mbaya mbovu..vingine sina uhakika navyo 😆
 
Screenshot_20220427-150733.jpg
 
Aisee! unaanzisha vita vya 3 vya dunia kwa sababu ndogo kama hii?

Hebu tuambie kwanza umepatwa na nini dada UNIQUE flower🙂
 
Yaani nilipwe 1m na IST yangu ya mkopo nisiringe? Unaijua milioni wewe? Yaani laki ziwe kumi kila baada ya wiki zisizozidi nne nisiringe? Umeliwa bure unatulalamikia siye!
 
Yote haya kayataka huyo jamaa aliyekufanya hilo alilokufanya.Kila siku malalamiko mapya kutuhusu,punguza makasiriko bidada haya maisha kilichotokea ni kama ajali tu.Nikusaidie kumalizia hapo,haya sema "wanaume wote umbwa kasoro mzee wangu tu".natumai maumivu yameisha sasa.
 
Back
Top Bottom