verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Wahuni wameloweka wakatembea qmmmae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa😂🤣🤣🤣 unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Anajiita Nani ?Huyu duu anashida sana in reality ni mbaya alaf kakondeana ila kila siku kutunanga huku JF she's so insecure na ana wivu wa kijinga jinga! Huko Instagram ana followers 40k ila chakushangaza akipost picha anapata likes 10 au 15 mataqo umbw@ wewe!
Mie akili yangu imenasa hapa. Kama unazo si umwambie akae home ili umlipe Mana ka m hako ni kadogo sana kwako is like a penny to you madame.Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu
😅😅😅😅😅 polemkuu na mimi huwa najua humu jf wadada wote ni corporate workers
Muhuni alipiga kisha akapita hivi.UKIONA MANYOYA UJUE KESHALIWA😂😂😂
Duuh inamaana unamjua mkuu?Huyu duu anashida sana in reality ni mbaya alaf kakondeana ila kila siku kutunanga huku JF she's so insecure na ana wivu wa kijinga jinga! Huko Instagram ana followers 40k ila chakushangaza akipost picha anapata likes 10 au 15 mataqo umbw@ wewe!
Aisee kuweni na huruma jamaniKwa ubaya nakubali ni m bad...choka mbaya mbovu..vingine sina uhakika navyo [emoji38]
Huyu duu anashida sana in reality ni mbaya alaf kakondeana ila kila siku kutunanga huku JF she's so insecure na ana wivu wa kijinga jinga! Huko Instagram ana followers 40k ila chakushangaza akipost picha anapata likes 10 au 15 mataqo umbw@ wewe!