Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Ni yule yule wa siku zote kazingua au haya ya leo ni ya nyu memba?
 
Yaani nilipwe 1m na IST yangu ya mkopo nisiringe? Unaijua milioni wewe? Yaani laki ziwe kumi kila baada ya wiki zisizozidi nne nisiringe? Umeliwa bure unatulalamikia siye!
 
Wewe tajiri kichwa ukiuza uchi humu sio wewe kichaa tu bali tahiraaa bora utoe bure humu mmh
 
Huyu mwamba alivyo fisi pamoja na hili povu lote kalike na kucomment kabisa.

Pole sana dada, siku nyingine usimpe kipochi manyoya kabla hajalipa.
Lile gari sio la mkopo mimi ndo nilimuazima na pale alipokupeleka sio kwake ni kwa demu wake, ungechunguza vizuri ungeona nguo za kike.

Ila pole sana sista ndo maisha.
Mnaela gani??
 
Yaani nilipwe 1m na IST yangu ya mkopo nisiringe? Unaijua milioni wewe? Yaani laki ziwe kumi kila baada ya wiki zisizozidi nne nisiringe? Umeliwa bure unatulalamikia siye!
Nikiliwa humu natembea uchii wa mnyama
 
Unamdharau vipi mtu anayelipwa millioni moja? Mbona mshahara mkubwa tu huo kwa mishahara ya Kibongo?

Msingi wa malalamiko yako ni nini hasa nimeshindwa kukuelewa.
Nafuu umeongea vizuri kiustaarabu kwa sasa siwapendi wanaume wa jf kosa walilofanya hakuna nimwaka tu wakuwapa madongo.
Najisikia kuchukizwa tu na wanaume wa humu
 
Tuanzie kwako kwanza,hivyo vyote ulivyotaja wewe unavyo?Umejenga?,Gari unayo?sio ya mkopo? Account yako inapokea miamala minene kiasi gani?Kama wewe hauna hivyo huna haki ya kutaka mwanaume wako awe navyo.Tafuta wa saizi yako. Na kama umenyanduliwa bure na msela akasepa pole[emoji23]
Asepe woiii nami anawataka mmefulia hamna ni jipya kwanza mnagongea bia kwa wenzenu mnaongea sana kwanza mnanjaa
 
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.

Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.

Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .

Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.

Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .

Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Ukuje kwangu
 
Back
Top Bottom