Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Humu kuna watu matajiri 😂🤣🤣🤣🤣 wabungee 😂🤣🤣🤣🤣🤣 wasomi wapo ila hela hakuna 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah jamani hatukatai ila nguvu zakiume hakuna mnaelewaga??
Eti watu wanajiona wanavimbaa kumbe nooooo nguvu zakiume na zikiwepo ya bahati hela hana .
Sasa mnataka nini mkiachwa .
Woiii
 
Sijui kwa nini nikiona nyuzi zako namkumbukaga mdogo wangu Demiss mana naye alijua sana kuwachamba Me wa humu.

Yaani alikuwa hawapumzishi. 😀😀😀
Ndioo wanajiona hawana hela pili wanajisikia hawana lolote wapo tu lazima uwaseme nimeanza hii shida yakuwachamba kwa maana wanawatesa watu kwenye miji yao.

Wanawaita wanawaweka mahali wanasepa hata chakula hawampi inauma nitawachamba sijali nitawachamba sana sijali watafanya nini
 
Sijaliwa mimi kuna walioliwa wananiomba niwachambe humu fala gani anaweza kunila au kunitumia hawa .
1. Nguvu za kiume hawanaga
2. Wanaume matunzo sio kuwaacha watu guest .
3. Ananjaa lazima tuwaseme nilazima
 
Una point nxuri ambayo ungetulia pengine ungeweka madini yakutosha nondo kwa magentleman na kutupa maushauri haswa ..... TATIZO UNAONGEA KWA JAZBA UTADHANI UMEGOMBANA NA KIJIJI EB RELAX PANGILIA KILE UNACHOTAKA KUTA ASA VIJANA .... pata glass ya maji then endelea kutupa nondo mkuu
 
Kumbe kidem cha Arusha yale yalee kuna wadau wanawakandiaga[emoji1787][emoji1787]
Hiyo yakumpangia mtu lazima awe anasali madhehebu fulani amenishangaza kidogo alafu kingine yeye ana elimu ya diploma lakini anataka mwanaume awe degree kwenda mbele kiukweli nimeangalia tangazo lake na hata nyuzi zake sioni uchamungu wake hata kidogo
 
Hahahaaa. Lol.

Wape vidonge vyao.🤣
 
Umeongea Kwa uchungu saaana
 
Mkuuu vip yamekukutaa nini

Pole mkuu kwa yaliokukuta

Achana na wanaume wa Dar njoo huku mkoani mkuu hutopitia tena yaliyokukuta mkuu
 
Inaonekana dada umepigwa mti halafu umeachwa maana mada zako n masimango matupu kwa wanaume

Ukiona hvyo ujue haijakidhi vigezo vyake
Utampata wa kufanana na wewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…