Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #141
Umefufuka best waah! Kweli nimewafukua wengi upogi mkeo hajamboo karibu tenaAisee mtihani sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefufuka best waah! Kweli nimewafukua wengi upogi mkeo hajamboo karibu tenaAisee mtihani sanaa.
Humu kuna watu matajiri 😂🤣🤣🤣🤣 wabungee 😂🤣🤣🤣🤣🤣 wasomi wapo ila hela hakuna 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah jamani hatukatai ila nguvu zakiume hakuna mnaelewaga??Tayari,mtu keshapigwa mbupu na waazima magari.
Nikwambie tu kitu humu jf matajiri wamo na wasomi wenye pesa wamo na wanasiasa wamo ila hv karibuni na wahuni ambao hawana chochote wameingia wengi sana na wametake over na wamewapoteza hao niliowataja hapo mwanzo
Wapi?? Kwanani??Naanza kufikiria kutokea hapa na mm[emoji23]
Ndioo wanajiona hawana hela pili wanajisikia hawana lolote wapo tu lazima uwaseme nimeanza hii shida yakuwachamba kwa maana wanawatesa watu kwenye miji yao.Sijui kwa nini nikiona nyuzi zako namkumbukaga mdogo wangu Demiss mana naye alijua sana kuwachamba Me wa humu.
Yaani alikuwa hawapumzishi. 😀😀😀
Hakuna kitu mtasema sana wehu tu hamuna lolote kazi ulofaKumbe kidem cha Arusha yale yalee kuna wadau wanawakandiaga[emoji1787][emoji1787]
Nikutumie umpe semaKuwa na subira idi ipite utamjua unique flower!
Sijaliwa mimi kuna walioliwa wananiomba niwachambe humu fala gani anaweza kunila au kunitumia hawa .Hili povu sio la bure...kuna mtu keshaliwa hapa kaachwa solemba[emoji1787][emoji1787]
Daah mdgo wangu hizi sosho netwek sio za kuaminiii
Wanajaa PM.hukooo ....wanalugha nzuri unaingia kingi...daah pole...next tym usiamini mtu[emoji1787][emoji1787]
Wakija PM.we soma ziache hapo hapo
Wanaume na wavulana mmh hakunagaaaInatakiwa utofautishe kati ya wanaume na wavulana ni vitu viwili tofauti kabisa.
Uongoo kabisaa acha uongooo wajameni kabisaaaMie ninachokijua kuwa wanaume wote wa jf,wana kazi nzuri, magari,majumba na mapesa.
Labda unawasemea tuvivulana twa humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una point nxuri ambayo ungetulia pengine ungeweka madini yakutosha nondo kwa magentleman na kutupa maushauri haswa ..... TATIZO UNAONGEA KWA JAZBA UTADHANI UMEGOMBANA NA KIJIJI EB RELAX PANGILIA KILE UNACHOTAKA KUTA ASA VIJANA .... pata glass ya maji then endelea kutupa nondo mkuuHumu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Hiyo yakumpangia mtu lazima awe anasali madhehebu fulani amenishangaza kidogo alafu kingine yeye ana elimu ya diploma lakini anataka mwanaume awe degree kwenda mbele kiukweli nimeangalia tangazo lake na hata nyuzi zake sioni uchamungu wake hata kidogoKumbe kidem cha Arusha yale yalee kuna wadau wanawakandiaga[emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Lol.Ndioo wanajiona hawana hela pili wanajisikia hawana lolote wapo tu lazima uwaseme nimeanza hii shida yakuwachamba kwa maana wanawatesa watu kwenye miji yao.
Wanawaita wanawaweka mahali wanasepa hata chakula hawampi inauma nitawachamba sijali nitawachamba sana sijali watafanya nini
Ndio na picha zake tiyari ziko kwenye group la wasap la wahenga!Unamjua kwani?
Umeongea Kwa uchungu saaanaHumu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Mkuuu vip yamekukutaa niniHumu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa😂🤣🤣🤣 unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
🤣🤣🤣🤣Huyu amewahi tafuta mume humu....Asee ambaye angeingia hiki choo[emoji23][emoji119]
Hata wewe mshabiki wa Yanga?Hahahaaa. Lol.
Wape vidonge vyao.🤣
Mwamba kama hautaji ebu nirushie Pm picha zakeNdio na picha zake tiyari ziko kwenye group la wasap la wahenga!