Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

Mkuu Instagram anatumia jina gani ? Tupe wahuni tukaangalie kama anafaa kuliwa ,Hawa wadada wenye tamaa na pesa hapa mjini ni WA kuliwa tu
Soon picha zake zitatumwa huku ngoja idi ipite!
 
Sijui kwa nini nikiona nyuzi zako namkumbukaga mdogo wangu Demiss mana naye alijua sana kuwachamba Me wa humu.

Yaani alikuwa hawapumzishi. 😀😀😀
 
Utapoa tu, with time kila kitu kitarudi kama kilivyokuwa. Ukikutana naye mpe hi kwamaana amekufundisha kuwa shobo ni kitu kibaya mno
 
Wanaume kazi tunayo, mpaka mwaka upinduke tutaona mengi.
 
Hili povu sio la bure...kuna mtu keshaliwa hapa kaachwa solemba[emoji1787][emoji1787]
Daah mdgo wangu hizi sosho netwek sio za kuaminiii
Wanajaa PM.hukooo ....wanalugha nzuri unaingia kingi...daah pole...next tym usiamini mtu[emoji1787][emoji1787]
Wakija PM.we soma ziache hapo hapo
 
Huyu demu inaonekana kapigwa machine mpaka papuchi ikawa inatoa upepo ho ho ho ho hooo ,kumbe mhuni kamuigizia tu [emoji28] Hana maisha Wala Nini ,kaamua kumtema Sasa anakuja kutoa makasiriko humu jf...!

Maisha ya Sasa ni ujanja ,mnajikutaga mnataka mwanaume mwenye pesa ,gari ,nyumba ,kazi nzuri [emoji28][emoji28][emoji28] na sisi tunaweza kuigiza tunayo hayo yote tukisha ichakaza iyo papuchi tunatoweka kama upepo[emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuu umeongea vizuri kiustaarabu kwa sasa siwapendi wanaume wa jf kosa walilofanya hakuna nimwaka tu wakuwapa madongo.
Najisikia kuchukizwa tu na wanaume wa humu
Inatakiwa utofautishe kati ya wanaume na wavulana ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.

Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.

Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .

Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.

Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .

Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa😂🤣🤣🤣 unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Utakuwa na stress za kufa mtu.
 
Jua lishaanza kuzama, mafuta ya taa yameisha kwenye chemli yangu, wacha nikafuturu mihogo yangu, kisha nijilaze kwenye kakipande kangu ka mkeka, kabla ya kulala natizama juu makuti yameanza kuvujisha na masika hii, natikisa kichwa najiambia yote maisha.
 
Tayari,mtu keshapigwa mbupu na waazima magari.

Nikwambie tu kitu humu jf matajiri wamo na wasomi wenye pesa wamo na wanasiasa wamo ila hv karibuni na wahuni ambao hawana chochote wameingia wengi sana na wametake over na wamewapoteza hao niliowataja hapo mwanzo
 
Back
Top Bottom