Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

Ushamaliza uzi na umewapa mods kazi ya kufanya, safi sana šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Walevi msiache pombe mkiacha tutakosa watu wa kuwadharau mtaani
 
Kabisa bwashee wapi biblia imeandika kuhusu soda?
Bro wangu.
Kuhusu kwenye Biblia.

Naomba nikujibu.

Miaka ile Soda hazikuwepo.
Hata hii mpira, Mieleka na michezo ming.

Ila Kipind Kile Quran na Biblia imeitaja Mvinyo/ Kimea. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Pamoja na Matunda yasiochachuka. Na ndio Juice/soda sasahivi

Ndio maana nikauliza kuna anaekunywa soda akatucheka?.

Maana zote zilikuwepo
 
Kaka pombe ni kinywaji cha pili kwa ulale ukitoa maji
 
Kaka pombe ni kinywaji cha pili kwa ulale ukitoa maji
Kabisa

Wengine wanywe maji.
Wengine maziwa.
Wengine asali.
Wengine juice na soda.
Wengine mvinyo/kimea
Wengine bia.

Wote tunakunywa na kwenye Quran. Tumeahidiwa hayo yote utakutana nayo Peponi.

Sasa shida iko wapi?
 
Bia niliacha kwa hiari mwaka jana haikunipa shida na sikutamani.
Soda nimeacha kwa lazima mwezi wa sita huu ila huwaga kuna muda natamani hatari. Pamoja na kwamba siku ya kuacha nilienda kupiga pepsi 2 za mwisho lakini bado huwa natamani kuna muda.
 
Tungi jau wakati mwingine kuna siku nimelewa nimeota ndoto nakimbizwa na simba
 
Wachungaji wakiwa kanisani kutwa kucha kutusema walevi

Lakini sisi tukiwa mbona hatuwasemi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…