mlima makadamia
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 186
- 256
Juice sawa soda hakunaBro wangu.
Kuhusu kwenye Biblia.
Naomba nikujibu.
Miaka ile Soda hazikuwepo.
Hata hii mpira, Mieleka na michezo ming.
Ila Kipind Kile Quran na Biblia imeitaja Mvinyo/ Kimea. πππ
Pamoja na Matunda yasiochachuka. Na ndio Juice/soda sasahivi
Ndio maana nikauliza kuna anaekunywa soda akatucheka?.
Maana zote zilikuwepo
Uzi tayari.
Mods edit header hiyo
Pombe humu ina vijana makini sna .Bado sijaona cha kunitenganisha na pombe..
KivipiPombe ni laana
Kivipi mkuu?walevi wapumbavu sana
itoshe kusema ni wapumbavu tuhKivipi mkuu?
Watanisanisvkrvb
Mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako, ndugu yangu pombe zitakupeleka wapi.....
Asante Nashukuru kwa ushauriMpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako, ndugu yangu pombe zitakupeleka wapi.....
Maisha yafaa nini bila mvinyo.....Asante Nashukuru kwa ushauri
Hapana siwacheki wanywaji wa biaHoja inasema sio kupona.
Ila je? Unatucheka tunaokunywa bia.?.
Asante sana , nikajua umesha okoka rafikiπ€£Maisha yafaa nini bila mvinyo.....
Ilimradi tu uchanganyikiwe π
Mi niliokoka miaka 12 iliyopitaAsante sana , nikajua umesha okoka rafikiπ€£
Hahahha asante sana , barikiwa sana bro.Mi niliokoka miaka 12 iliyopita
Kimoyo moyo unajisemea "ahsante kwa uongo wako" πHahahha asante sana , barikiwa sana bro.