Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Uislam umezaliwa miaka 500 baada ya Yesu Kristo kupaa, na ni miaka kama 3000 (afu tatu) tangu Yakobo afariki. yet, mtu asiyejua kusoma na kuandika anakuja kuwadanganya hawa viumbe kuwa Yakobo alikuwa muislam. kwahiyo alikuwa muislam kabla uislam haujaanzishwa hapa duniani? kwani uislam si umeanzishwa na mohamed? na mohamed si nabii wa uongo wa juzi tu hapa aliyekuja kuchambua Biblia aipindishe akasahau kutunza maneno ya akiba? hivi mna ubongo kweli?
 
Hahahaha, jamaa anachekesha sana.
Nilidhani atakuja na nukuu toka Torati na Zaburi.
 
Sio uislam ulianza miaka 500, Bali Muhammad alizaliwa mwaka wa mia 500 tena sio 500 tu ilikuwa mia 5 na kama sikosei 567 anaye kumbuka atarekebisha tena hiyo miaka baada ya KRISTO kujiondokea.
 
Hahahaha.
Nimecheka sana kudadadeki.
 
mgen
 
Kuna marekebisho hapo, dini walizokuja nazo mitume ndio uislamu wenyewe ila kutokana na kupita kipindi cha miaka 600 kabla ya kuja mtume mwingine yaani baada ya kuondoka masihi issa swala na amani ziwe juu yake, ndio ukasemwa umekuja uislamu na mtume muhammad lakini mafundisho ya injili ndio uislamu mafundisho ya torati hivyohivyo zaburi hivyohivyo kwani uislamu ni kujisalimisha kwa muumba wa mbingu na ardhi, hivyo mitume wote walikuwa waislamu hata yaaqub amani iwe juu yake aliitwa israeli yaani Abdullah kwa maana ya mja wa Allah nae alikuwa muislamu mnyenyekevu.
 
Sasa aliye uleta uislam alizaliwa baada ya miaka 600 iweje wale wa miaka maelf wawe waislam? Huyo nabii Isa ni kwenu Kwa injili hakuna Isa wala hajawahi onekana Mwanzo- Ufunuo.
 

Naomba nikukumbushe kuwa Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristo.

Mtume Mohamad SAW alitokea miaka 600+ baada ya Kristo.

Uislam umechukua maandiko ya Ukristo pamoja na Dini ya kiyahudi na mengine waliongezea wao ili kutunga vitabu vyao.
 
Hivi mnajielewa kweli? Inamaana hata mayahudi mnayoyachukia ni maisilamu menzenu?
Muhamedi mwenyewe alisema yeye ndio wakwanza kuwa muislamu.
 

Naomba usome Historia ya Al Kaaba.
Pale ambapo Waislam wanaenda Kuhiji.

Kiufupi palikuwepo kabla hata ya Mtume Mohamad SAW.

Lakin alipigana vita na akapateka na kuamuru waislam wote wasujudu kuelekea pale (kibra).

Hii ni dhahiri kuwa Uislam haukuwepo, ila ni dini iliyokuja kwa kuunganisha Dini nying za pande zile .
Na kuenezwa sehem mbali mbali kwa njia ya Vita.
 

Pale Al Kaaba , kuna kipind wale waabudu mashetan walikuwa wanaenda kuomba dua zao.

Kabla ya Waislamu.

Hii pengine inakufungua kichwa kuwa Uislam ni dini mpya.
 
Naomba nikukumbushe kuwa Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristo.

Mtume Mohamad SAW alitokea miaka 600+ baada ya Kristo.

Uislam umechukua maandiko ya Ukristo pamoja na Dini ya kiyahudi na mengine waliongezea wao ili kutunga vitabu vyao.
Nikama kukopy kitabu cha Nyambali Nyangwine
 
Pale Al Kaaba , kuna kipind wale waabudu mashetan walikuwa wanaenda kuomba dua zao.

Kabla ya Waislamu.

Hii pengine inakufungua kichwa kuwa Uislam ni dini mpya.
Kwanini pana umbo la uchi mke?
 
Sio uislam ulianza miaka 500, Bali Muhammad alizaliwa mwaka wa mia 500 tena sio 500 tu ilikuwa mia 5 na kama sikosei 567 anaye kumbuka atarekebisha tena hiyo miaka baada ya KRISTO kujiondokea.
MOHAMAD ndio alileta uislam,ndio maana tumetaja miaka hiyo. kwani aliyeanzisha uislam ni nani, si mood?
 
Nyakati hizo kulikuwa hakuna uislam.kwahiyo mtume Muhammad alikuwa kabla ya Yakobo?
 
Wewe unakuja na hadithi za Sungura alimdanganya Tembo akakanyaga moto 🔥 kwa nini, kwa sababu hamna ushahidi wa kama hilo lilitokea hivyo ndio maana inabaki ni hadithi tu za kusadikika.

Lakini hakuna jamii ya watu wajinga humu duniani kama waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…