Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Uislam umezaliwa miaka 500 baada ya Yesu Kristo kupaa, na ni miaka kama 3000 (afu tatu) tangu Yakobo afariki. yet, mtu asiyejua kusoma na kuandika anakuja kuwadanganya hawa viumbe kuwa Yakobo alikuwa muislam. kwahiyo alikuwa muislam kabla uislam haujaanzishwa hapa duniani? kwani uislam si umeanzishwa na mohamed? na mohamed si nabii wa uongo wa juzi tu hapa aliyekuja kuchambua Biblia aipindishe akasahau kutunza maneno ya akiba? hivi mna ubongo kweli?
 
Sio uislam ulianza miaka 500, Bali Muhammad alizaliwa mwaka wa mia 500 tena sio 500 tu ilikuwa mia 5 na kama sikosei 567 anaye kumbuka atarekebisha tena hiyo miaka baada ya KRISTO kujiondokea.
 
M

Muhammad ni nabii wa allah na wala si nabii wa Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo.
Allah ana nabii mmoja

Kwa hiyo mimi mmanyema ninayeamini Mungu wangu mmoja ambaye ni ndege na najisalimisha kwake nakuwa automatically muislam?Hebu acheni uhuni bhana.
Budhism ni monotheistic religion na wanajisalimisha kwa Mungu wao mbona hamuwaterm kama waislam?
Hii dini ya kukopi na kupesti ina longolongo kibao sana
Hahahaha.
Nimecheka sana kudadadeki.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
mgen
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Kuna marekebisho hapo, dini walizokuja nazo mitume ndio uislamu wenyewe ila kutokana na kupita kipindi cha miaka 600 kabla ya kuja mtume mwingine yaani baada ya kuondoka masihi issa swala na amani ziwe juu yake, ndio ukasemwa umekuja uislamu na mtume muhammad lakini mafundisho ya injili ndio uislamu mafundisho ya torati hivyohivyo zaburi hivyohivyo kwani uislamu ni kujisalimisha kwa muumba wa mbingu na ardhi, hivyo mitume wote walikuwa waislamu hata yaaqub amani iwe juu yake aliitwa israeli yaani Abdullah kwa maana ya mja wa Allah nae alikuwa muislamu mnyenyekevu.
 
Sasa aliye uleta uislam alizaliwa baada ya miaka 600 iweje wale wa miaka maelf wawe waislam? Huyo nabii Isa ni kwenu Kwa injili hakuna Isa wala hajawahi onekana Mwanzo- Ufunuo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ

Naomba nikukumbushe kuwa Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristo.

Mtume Mohamad SAW alitokea miaka 600+ baada ya Kristo.

Uislam umechukua maandiko ya Ukristo pamoja na Dini ya kiyahudi na mengine waliongezea wao ili kutunga vitabu vyao.
 
Hivi mnajielewa kweli? Inamaana hata mayahudi mnayoyachukia ni maisilamu menzenu?
Muhamedi mwenyewe alisema yeye ndio wakwanza kuwa muislamu.
Kuna marekebisho hapo, dini walizokuja nazo mitume ndio uislamu wenyewe ila kutokana na kupita kipindi cha miaka 600 kabla ya kuja mtume mwingine yaani baada ya kuondoka masihi issa swala na amani ziwe juu yake, ndio ukasemwa umekuja uislamu na mtume muhammad lakini mafundisho ya injili ndio uislamu mafundisho ya torati hivyohivyo zaburi hivyohivyo kwani uislamu ni kujisalimisha kwa muumba wa mbingu na ardhi, hivyo mitume wote walikuwa waislamu hata yaaqub amani iwe juu yake aliitwa israeli yaani Abdullah kwa maana ya mja wa Allah nae alikuwa muislamu mnyenyekevu.
 
Kuna marekebisho hapo, dini walizokuja nazo mitume ndio uislamu wenyewe ila kutokana na kupita kipindi cha miaka 600 kabla ya kuja mtume mwingine yaani baada ya kuondoka masihi issa swala na amani ziwe juu yake, ndio ukasemwa umekuja uislamu na mtume muhammad lakini mafundisho ya injili ndio uislamu mafundisho ya torati hivyohivyo zaburi hivyohivyo kwani uislamu ni kujisalimisha kwa muumba wa mbingu na ardhi, hivyo mitume wote walikuwa waislamu hata yaaqub amani iwe juu yake aliitwa israeli yaani Abdullah kwa maana ya mja wa Allah nae alikuwa muislamu mnyenyekevu.

Naomba usome Historia ya Al Kaaba.
Pale ambapo Waislam wanaenda Kuhiji.

Kiufupi palikuwepo kabla hata ya Mtume Mohamad SAW.

Lakin alipigana vita na akapateka na kuamuru waislam wote wasujudu kuelekea pale (kibra).

Hii ni dhahiri kuwa Uislam haukuwepo, ila ni dini iliyokuja kwa kuunganisha Dini nying za pande zile .
Na kuenezwa sehem mbali mbali kwa njia ya Vita.
 
Pale Al Kaaba , kuna kipind wale waabudu mashetan walikuwa wanaenda kuomba dua zao.

Kabla ya Waislamu.

Hii pengine inakufungua kichwa kuwa Uislam ni dini mpya.
 
Naomba nikukumbushe kuwa Uislam ulikuja miaka 600 baada ya Ukristo.

Mtume Mohamad SAW alitokea miaka 600+ baada ya Kristo.

Uislam umechukua maandiko ya Ukristo pamoja na Dini ya kiyahudi na mengine waliongezea wao ili kutunga vitabu vyao.
Nikama kukopy kitabu cha Nyambali Nyangwine
 
Sio uislam ulianza miaka 500, Bali Muhammad alizaliwa mwaka wa mia 500 tena sio 500 tu ilikuwa mia 5 na kama sikosei 567 anaye kumbuka atarekebisha tena hiyo miaka baada ya KRISTO kujiondokea.
MOHAMAD ndio alileta uislam,ndio maana tumetaja miaka hiyo. kwani aliyeanzisha uislam ni nani, si mood?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Nyakati hizo kulikuwa hakuna uislam.kwahiyo mtume Muhammad alikuwa kabla ya Yakobo?
 
Naomba Nisahihishe Ufahamu kidogo.

Uislamu unatokana na neno salaam yaani AMANI. Uislamu ni Dini Inayoamini katika Mungu mmoja asiye na Mshirika asiye Fanana na Kitu chochote.

MSINGI MKUU WA UISLAMU NI KUAMINI ANAESTAHILI KUABUDIWA NI MWENYEZI MUNGU (ALLAH) PEKEE NA ASISHIRIKISHWE PAMOJA NA YEYE CHOCHOTE.

UISLAMU UNAKANUSHA IBAADA ZA MIUNGU KAMA VILE KUABUDU MIZIMU ,, MAJINI,, MALAIKA,, MANABII/MITUME NK.

IMANI HII IMEKUWEPO TANGU KWA NABII ADAMU KISHA NUHU ,,........ HADI KUISHIA KWA MTUME WA MWISHO MUHAMMAD (SWALA NA SALAMU ZIWE JUU YAO WOTE)

HII INAMAANISHA MITUME NA MANABII WOTE WALIKUWA KATIKA IMAANI YA UISLAMU.

LAKINI SHERIA NYENGINE KAMA VILE NAMNA YA KUSWALI MFANO IDADI YA RAKAA AU IDADI YA SWALA PIA NAMNA YA KUFUNGA NA SHERIA NYENGINE AMBAZO KATIKA UISLAMU ZINAITWA (FIQH) HIZO ZILIBADILIKA KADRI YA MATAKWA YA ALLAH KWA HEKIMA ZAKE.

LAKINI MSINGI WA KUMUABUDU ALLAH PEKEE (TAWHEED) ULIBAKI PALE PALE NA NDIO MSINGI WA UISLAMU.

USHAHIDI

1) IBRAHIM NA KIZAZI CHAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ وَوَصَّىٰ بِهَآ إِبۡرَٰهِـۧمُ بَنِيهِ وَيَعۡقُوبُ يَٰبَنِيَّ إِنَّ ٱللَّهَ ٱصۡطَفَىٰ لَكُمُ ٱلدِّينَ فَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسۡلِمُونَ }
[Surah Al-Baqarah: 132]

Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

2) ISSA (YESU) NA WANAFUNZI WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ ۞فَلَمَّآ أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنۡهُمُ ٱلۡكُفۡرَ قَالَ مَنۡ أَنصَارِيٓ إِلَى ٱللَّهِۖ قَالَ ٱلۡحَوَارِيُّونَ نَحۡنُ أَنصَارُ ٱللَّهِ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَٱشۡهَدۡ بِأَنَّا مُسۡلِمُونَ }
[Surah Āli-ʿImrān: 52]

Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

3) MUSSA NA WATU WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU

{ وَقَالَ مُوسَىٰ يَٰقَوۡمِ إِن كُنتُمۡ ءَامَنتُم بِٱللَّهِ فَعَلَيۡهِ تَوَكَّلُوٓاْ إِن كُنتُم مُّسۡلِمِينَ }
[Surah Yūnus: 84]

Na Musa alisema: Enyi watu wangu! Ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu, basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni Waislamu.

KATI YA NABII MMOJA NA MWENGINE WATU WALIACHA MAFUNDISHO NA KUINGIA KATIKA IBAADA ZA KISHIRIKINA MFANO KUABUDU MASANAMU NA KUWAABUDU WAJA WEMA WALIOWATANGULIA.

ALIPOKUJA NABII MWENGINE AKALINGANIA TENA WARUDI KATIKA KUABUDU MUNGU MMOJA HADI IKAFIKA KWA MTUME MUHAMMAD KWANI NA YEYE ALIKUTA IBADA NYINGI ZA KISHIRIKINA ZINAFANYWA NA YEYE AKAWALINGANIA WARUDI KATIKA MILA YA KINA NABII IBRAHIM KWANI WAO WALIKUWA NI WAISLAMU.

UISLAMU SIO DINI YA MUHAMMAD NI DINI YA MITUME WOTE.

NA WALA MUSA HAKUWA MYAHUDI WALA ISSA WALA WANAFUNZI WAKE HAWAKUWA WAKRISTO. IMANI HIZO ZILIZUKA BAADA YA MITUME HIYO KUONDOKA NA KISHA SHETANI KUWAPOTEZA WATU NA KUANZA TENA KUABUDU MIUNGU MENGINE AU DINI ZENGINE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE.
Wewe unakuja na hadithi za Sungura alimdanganya Tembo akakanyaga moto 🔥 kwa nini, kwa sababu hamna ushahidi wa kama hilo lilitokea hivyo ndio maana inabaki ni hadithi tu za kusadikika.

Lakini hakuna jamii ya watu wajinga humu duniani kama waafrika.
 
Back
Top Bottom