HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

Sasa hivi hao jamaa mataga huwa wanaongea tu
Mdude kama angekamatwa kwa kosa la kutukana hapo tungesema amestahili lakini unamtumia watu wamteke na kumtesa kisha unambambikia kesi ya uongo ni ujinga wa hali ya juu wa Dikteta yule

Tabia njema ni silaha
 
Katiba Mpya ni muhimu sana, uwepo wa Mdude kwenye hilo kongamano ndio kunachagiza zaidi upatikanaji wa Katiba Mpya.

Hatuwezi kama taifa kuendelea kuishi kwa kutegemea hisani za viongozi wa CCM, akiwepo mbaya aonee raia, akiwepo mwenye huruma ndio raia wapate afadhali, hili lazima liondoshwe.

Tujiulize, kama leo Magufuli bado angekuwa Rais wa hii nchi, Mdude angekuwa wapi kwa jinsi mahakama zetu zilivyokuwa zimeshikwa na ikulu? ni wazi, Mdude angekuwa anatumikia kifungo wakati huu tena kwa makosa ya kubambikiwa.

Tuamke sasa, wakati ndio huu, Katiba Mpya ni lazima ipatikane ije kutuweka huru kwenye nchi yetu, irudishe usawa wa raia kwenye taifa letu bila kujali itikadi, rangi, wala dini zetu, na rasilimali za nchi yetu zitunufaishe sote sio kikundi kidogo cha watu pekee wanaolindana.

Wale wote wanaopinga upatikanaji wa Katiba Mpya ni wanyonyaji wanaoishi kwa kunywa damu za watanzania wenzao (zombies), akili zao bado zimelala, tusichoke tuendelee kuwaamsha wala tusiogope eti tutalala sisi, wataamka tu, kwa sababu Katiba Mpya itakuwa kwa manufaa yao pia.
Muambie uyo mtu wenu awe na eshima,akumbuke hata kama yuko kwenye siasa kuna wanaokuzidi umri na cheo/mamlaka inabidi waeshimiwe hata kama uwapendi,hafikirie yale matusi angelikuwa anatukanwa babayake angelifuraia,hata Samia kawambia kuna maadili ya Kiafrika ya kueshimu wakubwa zake.Mwambieni aendelee na matusi yake aje haone.
 
Chadema,
Kuna mambo mengine mnafanya ni ya kitoto sana,

Kwa hiyo mlisimamisha tena agenda yenu mhimu kuanza kulia kwa ajili ya mvuta bangi mmoja??

Aisee!!
@pslmp wewe kwa kusema Mdude ni mvuta Bangi na wakati hujashuhudia akivuta Bangi, naweza nikasema hulka yako haitafautiani na ya RPC Ulrich Matei, ya kumbambikia Mdude kesi ya madawa yakulevya,mwishowake Mahakama ikaja kumuubua!
 
Masikini uvccm na CCM huwaga hawana akili kabisa.
Yule Marehemu wenu alipokua alitukanwa watu mlikua mnamshangilia na viuno mnamkatia,
Katukana maraisi waliomtangulia mkamsifia,kawaida wanawashwawashwa,Hili Ni tusi zito Sana kutoka kwa mdogo kwenda kwa mkubwa.
Kuwashwa inaweza kuwa Wana genye.
Kawaida wapinzani magunzi,
Kadhalilisha wanawake hasa weusi,
Kadhalilisha hadi mama yake.

Mkwa mnamkatia viuno hadharani.
Maneno hayo angesema mpinzani mgeandamana anyongwe.

Marehemu wenu alifikia kutukana viongozi wa dini.

Marehemu wenu aliwaruhusu watoto kama kina Hapi pia kutukana babu zao.

Yule polepole aliwaita wapinzani corona Lumumba mkagonga cheers.

Kubajaji na Msukuma wakitukana viongozi wa Upinzani wanapongezwa.

CCM na laana
 
Mi nalia hapa tu, tumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Vipi mmeishamchangia pesa ya kula au bado mnashikiana akili.
 
Sasa unataka kujustfy Raia watekwe na kubambikiwa Kesi kwasababu ya Tabia zao?
Hata waswahili walitunga methali kuwa Asiye sikia la mkuu,uvunjika mguu.Unawezakuwa mwanasiasa bora basipo matusi,akina Slaa,Mbowe, Zito,wamekuwa wanasiasa mashuhuri nchi pasipo kutukanana,na watu tuliwaelewa,Siasa ni hoja sio matusi,kumbuka huyo unayendhalilisha kwa matusi ni mkuu wa nchi,pia anafamilia,
 
Wewe na mamako ndio mlikuwa mnamsokotea?
Mkuu, mkandahari, Hivi unajua sjakutukana hata kidogo, nashangaa umeporomosha matusi ya hatari kwangu!

Kwa kosa lipi sasa, na umepata nini sasa kumtukana mzazi wangu aisee!!

Na hii ligi mkuu usithubutu tena kuisnzisha aisee
 
@pslmp wewe kwa kusema Mdude ni mvuta Bangi na wakati hujashuhudia akivuta Bangi, naweza nikasema hulka yako haitafautiani na ya RPC Ulrich Matei, ya kumbambikia Mdude kesi ya madawa yakulevya,mwishowake Mahakama ikaja kumuubua!
Waala,mi mbona sjataja jina la mtu hapo mkuu
 
Back
Top Bottom