HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

Mkuu, mkandahari, Hivi unajua sjakutukana hata kidogo, nashangaa umeporomosha matusi ya hatari kwangu!

Kwa kosa lipi sasa, na umepata nini sasa kumtukana mzazi wangu aisee!!

Na hii ligi mkuu usithubutu tena kuisnzisha aisee
Tusi liko wapi , mbona ni swali tu ?
 
Mama alitakiwa awakazie hawa kina faru John zaidi hata ya mwendazake ndio wangepata akili vizuri. Ukicheka na kima lazima uvune mabua tu.
 
Mdude ni Kama TUNDU LISSU....

Ni watu wenye midomo michafu yenye KEDI ,KEBEHI ,DHARAU NA MATUSI.....

Ukiwatukana wenye NGUVU kamwe hawatokuacha.....
 
Kwakweli Mdude alitekwa mara kadhaa kabla ya kubambikiwa kesi ya kutoa Madawa ya kulevya Afghanistan na kuja kuyasambaza Mkoa wa Mbeya

Kama Nchi Huru tulifika pabaya sana Mungu katuletea Raisi Samia tunamuona kama Lulu ing'arayo.
Kama Samia ni LULU basi muitunze kwa kuiepushia Yale matusi yenu kwa hayati JPM.....
 
Naona makamanda wamepata upenyo sasa...paka ametoka vipanya vinaanza kusumbua huku na kule....

Mdude mumpime akili anaweza akawa sio mzima...kama ni mzima basi mpelekeni shule angalau ajifunze ustaarabu na kujua walau basics ya nini maana ya siasa, serikali na dola ni nini, Rais wa nchi ni nani pia.m
 
Ngoja tuone mama naye akizingua kama ataanza kuporomosha matusi. Mdude ni mwanaharakati mzuri lakini sijui alikuwa anapata faida gani kuporomosha matusi non stop. Kwa matusi yale hata sasa akianza kumtukana mama laivu namna hiyo watamkamata tena.
Tumia akili! Na maswali ya Ben Saanane kuhusu PhD ya mwendazake yalikuwa ni matusi?
 
Mdude ni Kama TUNDU LISSU....

Ni watu wenye midomo michafu yenye KEDI ,KEBEHI ,DHARAU NA MATUSI.....

Ukiwatukana wenye NGUVU kamwe hawatokuacha.....
Kabla uongo wake wa list feki ya Lisu kulipwa mafao yake na bunge haujakauka vizuri leo malisa ameamua kuhara uongo mwingine!

Haya ngoja tuone mauzo ya cocaine yatqkavyokuwa mitaani baada ya punda kuachiwa huru na mahakama.
 
Tumia akili! Na maswali ya Ben Saanane kuhusu PhD ya mwendazake yalikuwa ni matusi?
Kuwa mwanaharakati siyo lazima kuporomosha matusi. Mbona wapo wanaharakati wengi tu wanaopiga harakati zao kwa kuheshimu mamlaka? Mwambieni abadilishe staili ya harakati zake. Akianza kumtukana Mama kwa matusi yale watamsweka ndani tena. Hilo halina mjadala!
 
Mdude ni Kama TUNDU LISSU....

Ni watu wenye midomo michafu yenye KEDI ,KEBEHI ,DHARAU NA MATUSI.....

Ukiwatukana wenye NGUVU kamwe hawatokuacha.....
msitunge mashtaka ya uongo , washitakini kwa haki
 
msitunge mashtaka ya uongo , washitakini kwa haki
RBC hivi ukimtukana BABA yako iweje umlaumu kwa adhabu atakayokupa?!!!

Hivi JANDONI NA UNYAGONI hatufundishwi ADABU NA NIDHAMU kwa wakubwa?!!

Kwa hiyo siasa za uliberali zimekuja kuundoa utu wetu waafrika?!!!
 
Katiba ya Nchi haiendeshwi kama Jando na unyago
 
Back
Top Bottom