Sasa hivi hao jamaa mataga huwa wanaongea tu
Mdude kama angekamatwa kwa kosa la kutukana hapo tungesema amestahili lakini unamtumia watu wamteke na kumtesa kisha unambambikia kesi ya uongo ni ujinga wa hali ya juu wa Dikteta yule
Chadema chama cha wananchi. Na hii ni katiba ya wananchi.kongamano la katiba mpya ya chadema
Ccm ya sasa ni majambazi.Cdm ya sasa ni usanii
Sawa Kabisa. Haipendezi na sio uungwana kuwasilisha mawazo na maoni yako mbadala kwa lugha ya kuudhi na matusi.Mdude akiweza kuacha matusi na lugha za kuudhi kwa viongozi wakuu wa serikali anaweza kuja kuwa mwanasiasa mzuri
Kivipi?Ila jamaa naye kuna mda alkuwa anazingua....
Muambie uyo mtu wenu awe na eshima,akumbuke hata kama yuko kwenye siasa kuna wanaokuzidi umri na cheo/mamlaka inabidi waeshimiwe hata kama uwapendi,hafikirie yale matusi angelikuwa anatukanwa babayake angelifuraia,hata Samia kawambia kuna maadili ya Kiafrika ya kueshimu wakubwa zake.Mwambieni aendelee na matusi yake aje haone.Katiba Mpya ni muhimu sana, uwepo wa Mdude kwenye hilo kongamano ndio kunachagiza zaidi upatikanaji wa Katiba Mpya.
Hatuwezi kama taifa kuendelea kuishi kwa kutegemea hisani za viongozi wa CCM, akiwepo mbaya aonee raia, akiwepo mwenye huruma ndio raia wapate afadhali, hili lazima liondoshwe.
Tujiulize, kama leo Magufuli bado angekuwa Rais wa hii nchi, Mdude angekuwa wapi kwa jinsi mahakama zetu zilivyokuwa zimeshikwa na ikulu? ni wazi, Mdude angekuwa anatumikia kifungo wakati huu tena kwa makosa ya kubambikiwa.
Tuamke sasa, wakati ndio huu, Katiba Mpya ni lazima ipatikane ije kutuweka huru kwenye nchi yetu, irudishe usawa wa raia kwenye taifa letu bila kujali itikadi, rangi, wala dini zetu, na rasilimali za nchi yetu zitunufaishe sote sio kikundi kidogo cha watu pekee wanaolindana.
Wale wote wanaopinga upatikanaji wa Katiba Mpya ni wanyonyaji wanaoishi kwa kunywa damu za watanzania wenzao (zombies), akili zao bado zimelala, tusichoke tuendelee kuwaamsha wala tusiogope eti tutalala sisi, wataamka tu, kwa sababu Katiba Mpya itakuwa kwa manufaa yao pia.
Sasa unataka kujustfy Raia watekwe na kubambikiwa Kesi kwasababu ya Tabia zao?Tabia njema ni silaha
Tatizo wa hawa wanaojiona ni middle class wamepatia maisha wakati hali halisi hakuna walichokifanya,wamekua wabinafsi na wanafiki wakubwa pamoja na UONGO ndani yao na familia zao.That's too low mzee.. Hiki ulichoandika hakifanani kabisa na umri wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na mamako ndio mlikuwa mnamsokotea?Chadema,
Kuna mambo mengine mnafanya ni ya kitoto sana,
Kwa hiyo mlisimamisha tena agenda yenu mhimu kuanza kulia kwa ajili ya mvuta bangi mmoja??
Aisee!!
@pslmp wewe kwa kusema Mdude ni mvuta Bangi na wakati hujashuhudia akivuta Bangi, naweza nikasema hulka yako haitafautiani na ya RPC Ulrich Matei, ya kumbambikia Mdude kesi ya madawa yakulevya,mwishowake Mahakama ikaja kumuubua!Chadema,
Kuna mambo mengine mnafanya ni ya kitoto sana,
Kwa hiyo mlisimamisha tena agenda yenu mhimu kuanza kulia kwa ajili ya mvuta bangi mmoja??
Aisee!!
Namaanisha ukiwa na tabia njema unaepukana na mengiSasa unataka kujustfy Raia watekwe na kubambikiwa Kesi kwasababu ya Tabia zao?
Kuna mda kukosoa kwa lugha ya matusi kulizidi...Kivipi?
Aiseeee !!Katiba mpya haiepukiki,ccm wanashupaza shingo huku nchi imewashinda.
Miaka 60 madarakani inataka kuifungua nchi!!!
Nchi ilifungwa na nani?
Hata waswahili walitunga methali kuwa Asiye sikia la mkuu,uvunjika mguu.Unawezakuwa mwanasiasa bora basipo matusi,akina Slaa,Mbowe, Zito,wamekuwa wanasiasa mashuhuri nchi pasipo kutukanana,na watu tuliwaelewa,Siasa ni hoja sio matusi,kumbuka huyo unayendhalilisha kwa matusi ni mkuu wa nchi,pia anafamilia,Sasa unataka kujustfy Raia watekwe na kubambikiwa Kesi kwasababu ya Tabia zao?
Mkuu, mkandahari, Hivi unajua sjakutukana hata kidogo, nashangaa umeporomosha matusi ya hatari kwangu!Wewe na mamako ndio mlikuwa mnamsokotea?
Waala,mi mbona sjataja jina la mtu hapo mkuu@pslmp wewe kwa kusema Mdude ni mvuta Bangi na wakati hujashuhudia akivuta Bangi, naweza nikasema hulka yako haitafautiani na ya RPC Ulrich Matei, ya kumbambikia Mdude kesi ya madawa yakulevya,mwishowake Mahakama ikaja kumuubua!