Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

Chawa kazini Kila k2 Samia
 
sasa wewe na mihemko yako akili na moyo wako kinachoweza kufanya si ni kuporomosha matusi tu 🀣

na mimi na kushauri, uongoze juhudi zaidi katika kutukana na kuporomosha matusi mazito mazito ikiwa yanakusaidia katika kutatua changamoto mbalimbali za maisha yako πŸ’
 
Ulishaona polisi wakimkamata mhalifu kuna sheria inayowapa mamlaka ya kufuta huo uhalifu/kumwachia mhalifu au mahakama ndiyo yenye huo wajibu wa kutoa haki na pia kuadhibu au kusamehe kwa mujibu wa sheria?
mbona unaeleza kilichofanyika leo ama niaje gentleman 🀣
 
Sawa. Katika kujadili jambo tunaelimishana. Hatubishani tu kwa lengo la kubishana. Tuanze na sheria iliyovunjwa na kutaja shitaka la uhalifu uliofanywa au kukusudiwa kufanyika.
mashtaka ni kule mahakamani gentleman, na ni vizuri kujadiliana masula ya kisheria kwenye jukwaa mahususi πŸ’
 
Ifike mahali tukubali kuwa Zama.za ujinga zimekwisha. Yaani ukamate Watu bila kosa baadae uje utuambie huruma πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ
what would you do then, nimekuonea huruma, nimekusamehe na nimekufutia makosa yako yote ya kihalifu, uko huru πŸ’
 
Wasukuma wanasema tombena nyoko yani wewe kilaza
 

Ukija na maposti yako ya kijinga utaendelea kula matusi tu hata kama hayanisaidii chochote kwenye maisha yangu na kama vile maposti yako ya kipumbavu hayanisaidii chochote kwenye maisha yangu.
 
Ukija na maposti yako ya kijinga utaendelea kula matusi tu hata kama hayanisaidii chochote kwenye maisha yangu na kama vile maposri yako ya kipumbavu hayanisaidii chochote kwenye maisha yangu.
siwezi babaika na matusi yako na wengine wote daima kwasababu mimi ni mtumishi wa wananchi, na hata jimboni wapo wananchi wa aina yako lakini ni wangu siwezi kuwatupa kwasababu ni wananchi wangu hata kama afya ya akili imeathirika kama yako, nyakati zote nawahangaikia tiba mpka wapone, naamini na wewe utapona tu pia πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…