Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #41
Nimecheka sanqMi nakushauri mkuu kila mkoa unaoenda hakikisha unafikia kwa kalumanzila wa mkoa unaweka sawa then unaendelea na mambo za ofisini yani hapo kila wakienda kuharibu kwa mkuu wa idara ni km wanakupigia debe Mwachiluwi ndio aende tu hatutaki mwingine
#Ila mkuu hizi nyingne zote mbwembwe tu mganga mungu tu na hpa ndio pakushikilia
Pipo hawajawahi kueleweka hta kdogo we mpka inafikia hatua mtu anakuambia ni bora ukutane na simba porini lakini sio binadamuNimecheka sanq
Makazini mkuu?Labda nipo nje kidogo ya mada, lakini nimejisikia kuzungumzia pia hii tabia nyingine ya watu, umekaa nao mnazungumza kumbe wana record audio kwa Siri alafu badae wanasambaza.
Hii pia Ni tabia ya kishenzi tu
🤣🤣🤣 pipo mgumu kuelewaPipo hawajawahi kueleweka hta kdogo we mpka inafikia hatua mtu anakuambia ni bora ukutane na simba porini lakini sio binadamu
Sio siri mkuuAchana nao mkuu.
Unawapa kwa upendo ukute wanatafsiri unawaringishia
Af nije kula kwenuSasa mkuu si uache tu kazi ili uondokane na hizo husda
Unataka kesho nipgwe vikumboWaandikie huko status; 'Chuki nichukie Roho yangu niachie'.
PoleDah hata Mimi niwe makini maana Niko huku bush watu wanalalamika hata kama kakosea ukimrekebisha kidogoo kosa dah
Usipoteze muda wako, upendo haupo katika ofisi nyingi zenye Watanzania. Ishi maisha yako huku ukiwapenda watu kinafiki, usiwazoee sana watu wa maofisini.Naelewa no award ila kuna kushare upendo
Hahahaa....Unataka kesho nipgwe vikumbo