Husda za kazini mbaya sana

Husda za kazini mbaya sana

Mi nakushauri mkuu kila mkoa unaoenda hakikisha unafikia kwa kalumanzila wa mkoa unaweka sawa then unaendelea na mambo za ofisini yani hapo kila wakienda kuharibu kwa mkuu wa idara ni km wanakupigia debe Mwachiluwi ndio aende tu hatutaki mwingine
#Ila mkuu hizi nyingne zote mbwembwe tu mganga mungu tu na hpa ndio pakushikilia
Nimecheka sanq
 
huyo mkuu wa idara nae ni kiazi kama viazi vingine, kila siku safari unatoka wewe kila siku wewe..
kwani hakuna mwingine??
huo ni ujinga kama ujinga mwingine
 
Back
Top Bottom