Husda za kazini mbaya sana

Husda za kazini mbaya sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
He'll

Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma

Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya mkoa basi mkuu wa idara analeta jina langu

Kitu kinachopeleka watu kunichukia mimi bila kujua nikitoka zangu safari nimerudi na sina roho ya uchoyo nawapa ofa ya lunch wote kwenye kitengo chetu ili nao wafurahi kidogo kumbe nyuma ya panzia uko wanaona wivu na kunisagia kunguni bila mimi kujua

Sababu ni safari hawajui tu jinsi gani Mungu anavyo tupigania na huruma yake tu ila kivile hamjui mnajaza chuki si vyema tutauana buree
 
Kosa la kwanza na la kujirudia ni [emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Achana nao
Fanya kazi wasikutishe na wingi wao, ishi nao Kwa akili halafu hapo ni kazini sio Sehem ya kuwania Award ya kufurahisha watu.
Unalea sana ujinga we mzee
 
Labda nipo nje kidogo ya mada, lakini nimejisikia kuzungumzia pia hii tabia nyingine ya watu, umekaa nao mnazungumza kumbe wana record audio kwa Siri alafu badae wanasambaza.

Hii pia Ni tabia ya kishenzi tu
 
nishafanya kazi mahali ya uwakala japo sio ajira rasmi . Niliona kila rangi yaani za watu. Nilikoma .
 
Labda nipo nje kidogo ya mada, lakini nimejisikia kuzungumzia pia hii tabia nyingine ya watu, umekaa nao mnazungumza kumbe wana record audio kwa Siri alafu badae wanasambaza.

Hii pia Ni tabia ya kishenzi tu
🤣🤣🤣 hao ni machawa ofisin sio kila mtu wakuongea nae kuhusu mambo ya ofisi mimi naogpa kuongea mamb ya ofis kwenye group yaani ofisini anaweza kuwazisha mada mtu mmoja ukadakia nyumba bovu likakudondokea ogopa sana
 
He'll

Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma

Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya mkoa basi mkuu wa idara analeta jina langu

Kitu kinachopeleka watu kunichukia mimi bila kujua nikitoka zangu safari nimerudi na sina roho ya uchoyo nawapa ofa ya lunch wote kwenye kitengo chetu ili nao wafurahi kidogo kumbe nyuma ya panzia uko wanaona wivu na kunisagia kunguni bila mimi kujua

Sababu ni safari hawajui tu jinsi gani Mungu anavyo tupigania na huruma yake tu ila kivile hamjui mnajaza chuki si vyema tutauana buree
Kwanini Mungu akupiganie upate safari peke yako? Unadhani wengine hawana Mungu,ninyi ndio mnaharibu ofisi kwa nepotism za kijinga na maboss wenu,wafanyakazi wenzio wako sawa kukumind ,gawaneni huo mkate
 
Back
Top Bottom