Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
He'll
Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma
Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya mkoa basi mkuu wa idara analeta jina langu
Kitu kinachopeleka watu kunichukia mimi bila kujua nikitoka zangu safari nimerudi na sina roho ya uchoyo nawapa ofa ya lunch wote kwenye kitengo chetu ili nao wafurahi kidogo kumbe nyuma ya panzia uko wanaona wivu na kunisagia kunguni bila mimi kujua
Sababu ni safari hawajui tu jinsi gani Mungu anavyo tupigania na huruma yake tu ila kivile hamjui mnajaza chuki si vyema tutauana buree