Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True. Husna the boss lady ni mwepesi kama karatasi.Hakuna uadui mkuu, tunafurahi tu, kwa taarifa yako wenye nyodo wanajua kupenda balaa, jitahidi uweze kummudu utafaidi
Tuko wawiliiiiMkuu....
Kumbe nawewe una gari..[emoji15] [emoji15]
Yaani humu nimebakia mimi tu aiseee...[emoji20] [emoji20]
HahahaTrue. Husna the boss lady ni mwepesi kama karatasi.
Lile umepeleka wapi?Tuko wawiliiii
Povu veepeHana lolote, analiwa na mfanyakazi mfyuu
Nimeuza ujueLile umepeleka wapi?
Unaionaje intaviu ya mwenye nyodo!
Wewe ni HUSNA THE LADYFafanua bro!
DJ sepetu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu wanaume sio wajinga hata kidogo, tunamchora tu lakini tunaona hana thamani
Afadhali nimepata mnyonge mwenzangu....[emoji23] [emoji23]Tuko wawiliiii
Unakimbia nini tuongee ukweli hapa, kajiangusha sana anamajigambo mno, anafikiri vijisenti ndio thamani yake, wanake bora wamo humu na wanamchora tu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Muosha rungu, endelea kuwa interview watu but uwe mstahimivu na endelea kuiboresha ili isionekane ni sehemu ya uhuni flani[emoji23] [emoji23] why
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha nimecheka sana tena sana...hii interview ina vituko sana
Nimesoma comments za uzi huu zote hadi hapa........
Lakini wanasema kuwa kwenye kila jambo lazima kuwa na chakujifunza,...
Namimi kwenye hii interview nimejifunza kuwa ni Muhimu kutunza kumbu kumbu kwenye kila jambo unalo ongea au kuliandika.
ADMINISTATO KWENYE SHIRIKA?
HEAD MISTRESS..?
Mis u[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Unakimbia nini tuongee ukweli hapa, kajiangusha sana anamajigambo mno, anafikiri vijisenti ndio thamani yake, wanake bora wamo humu na wanamchora tu.
Watu hamkosi maneno hahaha wewe upo hapa kufanya nnMuosha rungu naona upo JF kwa ajili ya kuhoji watu tu, haya lakini tuendelee