HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Hahahahaha nimecheka sana tena sana...hii interview ina vituko sana
Nimesoma comments za uzi huu zote hadi hapa........
Lakini wanasema kuwa kwenye kila jambo lazima kuwa na chakujifunza,...
Namimi kwenye hii interview nimejifunza kuwa ni Muhimu kutunza kumbu kumbu kwenye kila jambo unalo ongea au kuliandika.
ADMINISTATO KWENYE SHIRIKA?
HEAD MISTRESS..?
 
Husna the Boss Lady?!
Wabinti wa kariba yako ni wepesi sana kutongozwa na kukubali. Believe my words.
1: Una fahamu English ( kutongozwa kwa kiingereza ni rahisi kuliko kiswahili
2: Time management iko vizuri
3: Pesa sio issue kwako
4: Unapenda love in Goa
5:
 
Mkuu wanaume sio wajinga hata kidogo, tunamchora tu lakini tunaona hana thamani
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unakimbia nini tuongee ukweli hapa, kajiangusha sana anamajigambo mno, anafikiri vijisenti ndio thamani yake, wanake bora wamo humu na wanamchora tu.
 
Hahahahaha nimecheka sana tena sana...hii interview ina vituko sana
Nimesoma comments za uzi huu zote hadi hapa........
Lakini wanasema kuwa kwenye kila jambo lazima kuwa na chakujifunza,...
Namimi kwenye hii interview nimejifunza kuwa ni Muhimu kutunza kumbu kumbu kwenye kila jambo unalo ongea au kuliandika.
ADMINISTATO KWENYE SHIRIKA?
HEAD MISTRESS..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom