Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Niko Mozambique mikoa ya kaskazini, wao kilimo kikubwa ni mahindi na maharage, lakini selikali haijawahi kuwapingia bei ya mazao, wanauza mahindi Malawi na Tanzania, huku mkulima wa kawida anamiliki pikipiki, kipindi cha kuanzia mwezi kumi, yaani vijijini wakulima wanashindana kuagiza magari japaniNimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na congo...hatukatai watu kuuza nje lakini kwa kuwa maeneo mengi ya nchi hawakulima mahindi ya kutosha na mikoa mingine kama morogoro mahindi yameharibika mashambani kwa kukosa mvua za kutosha ...nakushauri Tena kwamba zuia kwanza mahindi yasiende nje ili tujitosheleze ...au serikali kupitia nrfa iingie kununua kabla hatujabaki na mabua !! Nakufahamu hupendi kushauliwa na mtu lakini asiesikia la mkuu huvunjika
Ludi Tanzania wakulima miaka ya nyuma walikuwa wanatia huruma sana,yaani mtu kalima mazao yake anakatazwa kusafirisha wilaya moja kwenda nyingine,ulikuwa ukilitimba mkubwa