Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

Kitu kingine kinachowapumbaza chadema ni kukosa kufahamu au kutofautisha, wingi wa watu, na wapiga kura halisi.
 
Anachana anga
 
Hamna kitu hapo,huyo katimuliwa Belgium kaja kuzingua tu akisubiri kibali kingine miezi 6.
Anakula ruzuku mapoyoyo mnashangilia na kuandamana.
 
Nabii huwa hakubaliki kwao, lakini kwake yeye naona kama kuna tofauti.

Lisu anakubalika sana kwao. Wananchi wa nyumbani kwake humwona kama ni nembo ya utambulisho.

Siku moja nilikuwa nasafiri toka Dodoma kwenda Mwanza kwa gari. Singida mjini nikaenda filling station, akaja mtoto, kwa makadirio yaweza kuwa wa miaka kati ya 12 na 14, akaomba lift kwenda Shinyanga. Kwa sababu ni mdogo ikabidi nimhoji sana, kutaka kujua anatoka wapi, anaenda wapi, kwa nani, nani wa kumpokea huko Shinyanga. Nikashangaa yule mtoto aliponiambia kuwa anatoka Ikungi, KWA LISU, anaenda Shinyanga kwa dadake ambaye ni Mwalimu wa shule ya Msingi, eneo la Maganzo. Kwake, ilionekana jina la Lisu ni fahari yake, na anaona ni utambulisho wake.
 
Shujaa ni mmoja tu

Lisu ni Jasiri 🐼
Shujaa wako alikuwa mjinga.Mjinga na ushujaa haviendani.Mwizi wa uchaguzi na ushujaa wapi na wapi.Shujaa hana tabia ya kujipendelea labda maana halisi ya ushujaa imebadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…