Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kitu kingine kinachowapumbaza chadema ni kukosa kufahamu au kutofautisha, wingi wa watu, na wapiga kura halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachana angaTumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za Uchaguzi .
Tunaomba radhi kwa kuchelewesha Uhondo huu , hii ni kwa sababu ya Uwingi wa Habari za Chadema , ambazo zinatuzidi nguvu kuziripoti kwa wakati mmoja , nadhani wote sasa mnafahamu kwamba Chadema ndio habari ya Nchi hasa kwenye wiki hii ya Maandamano
View attachment 2975996View attachment 2975997View attachment 2975998
The Day is comingTanzania Inapata Uhuru Sasa Ambao Ni Wa Kweli
Nchi nzima kimenukaFukuza mwizi Kimyakimya...Mashambulizi ya Chadema ni makubwa mno
He is not fit upstairs, some screws are messed up.the gentleman is completely not fit in everything concerning leadership.
Nabii huwa hakubaliki kwao, lakini kwake yeye naona kama kuna tofauti.
Anakata punk kama vijana wanaovaa mlegezoLissu ameichoka sana Chadema, hata nywele hachani
Shujaa wako alikuwa mjinga.Mjinga na ushujaa haviendani.Mwizi wa uchaguzi na ushujaa wapi na wapi.Shujaa hana tabia ya kujipendelea labda maana halisi ya ushujaa imebadilika.Shujaa ni mmoja tu
Lisu ni Jasiri 🐼
Lissu huu ni muda wake kuachana na utapeli wa Sultan.Anakata punk kama vijana wanaovaa mlegezo