Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Thread zako nyingi huwa za kufikirika tu, hazina ushahidi usioacha shaka.

Inaonekana kwako mtu akifikisha miaka 20 hata kama akiwa bikira hastahili kuitwa hivyo, kwako lazima awe under 15!.

Na ikitokea under 15 is not virgin, kwako utaamini she is!
 
Thread zako nyingi huwa za kufikirika tu, hazina ushahidi usioacha shaka.

Inaonekana kwako mtu akifikisha miaka 20 hata kama akiwa bikira hastahili kuitwa hivyo, kwako lazima awe under 15!.
Yes ni za kufikirika KWA sababu kufikiri sio kazi rahisi mkuu
 
Hapana kwa kweli, tupatie uthibitisho unaoeleweka.
 
Aliemfundisha kuku hapa ni sehemu ya kupiga mashine ni nani 😁😁😁
 
Mimi sishangai kwasababu kibiolojia mwanamke mwenye umri kuanzia miaka kumi na mbili anaweza kushika ujauzito.

Na kwenye jamii ambayo mwanamke alikuwa hana haja ya kwenda shule(.?)
inawezekana ilikuwa kawaida kuolewa katika umri huo.

Sema ungeleta ushahidi sasa ili kueleweka zaidi.
Tofauti na hapo umetunga maneno.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unatoka njee ya mada mambo ya kakobe yametoka wapi kwani nimekuambia mim nasali kwa kakobe

Nionyeshe mstari kwenye biblia unaosema bikira Mariam aliolewa akiwa na miaka 13 usikwepe swali kijanja
 
Ingependeza kama ungeleta historia ya Bikira Maria baada ya kumzaa Yesu je baadaye alizaa na Yoseph? Kama Watoto wangapi na wanaitwa kina nani? Kwahiyo Yesu ana ndugu zake wa kuzaliwa tumbo moja?

Nadhani hizi ndio hoja za msingi watu wa kitabu wanapaswa kufunuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…