Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

[emoji848]
 
Sasa mahari ya milioni 20 tu ulishtuka utaweza kunitunza maisha yote kweli?

Kinachomtunza mtu kwenye mahusiano ya ndoa ni Upendo, kinachofanya mahusiano yaendelee kudumu hi uaminifu na Akili.
Pesa haijawahi kumtunza mtu,
Mtu anaweza akawa na pesa na asikutunze vilevile.
Na mtu anaweza kuwa Hana pesa na akakutunza na ukafurahia maisha.

Acha akili zako za kachori hizo
 
Pesa Pesa Pesa,
Nataka nile vizuri kachori kwa mahamri, nijipulizie alhood, nifanye shoppings za Dubai,
Kwenye Pesa upendo upo tu, hayo mambo ya Akili tuwaachie wakina Einstein
 
Kwahiyo bikira walihesabu miaka 12 au 13 ndio wakajaua

Unataka kunambia miaka hiyo hapo Bethlehem hapakuwa na bikira wa 18

Tatizo lako umefananisha mazingira yetu na ya Israel
 
Kwahiyo bikira walihesabu miaka 12 au 13 ndio wakajaua

Unataka kunambia miaka hiyo hapo Bethlehem hapakuwa na bikira wa 18

Tatizo lako umefananisha mazingira yetu na ya Israel
Miaka 18 atoke wapi mkuu. Wananzuoni wa kikristo, kiyahudi na kiislamu wanakubaliana kwamba bikira maria alipata mimba iliyo mzaa Yesu akiwa na.umri Kati ya miaka 11 HADI 13
 
Nope mkuu. Wana nzuoni wa Kikristo, Kiyahudi na kiislamu wanakubaliana kwamba bikira maria wakati anapata mimba iliyo mzaa Yesu alikuwa na umri wa Kati ya miaka 11 HADI 13
 
Umeanza kwa kutuaminisha mambo ya wayahudi ambayo hauna clue nayo kisha ukaanza kuporomosha longolongo kibao

Muombe Mungu akufunulie unachotaka kukifahamu, hana mipaka
 
Umeanza kwa kutuaminisha mambo ya wayahudi ambayo hauna clue nayo kisha ukaanza kuporomosha longolongo kibao

Muombe Mungu akufunulie unachotaka kukifahamu, hana mipaka
 
Attachments

  • Screenshot_20221101-172521.png
    28.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221101-172529.png
    65.4 KB · Views: 7
Neno WOULD HAVE BEEN... ni probability na siyo FACT
Truth ni kwamba Maria alikuwa bikira na enzi hizo mabikira wlikuwa wengi pia ilikuwa fahari kwao kujitunza.

Bado narejea kusema kwamba hizi hoax za wanaotafsiri Bible kwa malengo yao nje ya mafundisho ya KWELI huwa wanapotosha na kumsaidia shetty kuwaburuza wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…