Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
 
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi source hisia zake ,hawezi ushahidi wa uhakika lakini nashangaa anapata mpaka Kondoo wa kumsapoti tena wakimhimiza aendelee kutoa madini.
Ndio tatizo la kuwa na wajinga wengi, usishangae wakimtafuta mjinga mwenzao akawa kiongozi wao kama LIKUD
 
Onyesha mstari kwenye biblia unaosupport hoja zako acha uongo jamiiforum hatuitaji watu waongo na wazindaki
Maswali magumu kama haya huwa hayapendi kabisa, anapenda longolongo tu.
 
Ungekuwa unajielewa ningekupa reference ya vitabu usome vikufungue akili YAKO lakini KWA sababu wewe ni mjinga mjinga mmoja hivi wacha nikupe hii random reference from this brother.
Una tatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za akili, umeambiwa leta maneno kutoka kwenye biblia, hufanyi hivyo, badala yake wewe unaleta habari za kuokoteza toka kwenye "vitabu vyako"
 
Maandiko yanatuambia zijaribuni hizo roho, ajabu wewe unatuletea longolongo kama za huyu mjinga mwenzio LIKUD

1 Yohana 4:1

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wa uongo wengi [kina LIKUD] wametokea duniani.

Kama jambo hamlijui ombeni ushauri, msipotezee watu muda huku na kelele zenu.
 
Siku hizi wajinga zaidi ujiona welevu.
 
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
Kipimo unachonipimia mimi ndicho kunakupimia wewe pia.

Utoto ni kutengeneza defence mechanism badala ya kujibu hoja
 
Acha utoto wewe. Watu wasifikiri nje ya box eti wanamsaidia SHETANI.
Kipimo unachonipimia mimi ndicho kunakupimia wewe pia.

Utoto ni kutengeneza defence mechanism badala ya kujibu hoja
 
Hakuna ukweli wowote. Mwaka ulihesabiwa kwa kutazama idadi ya Siku ambazo dunia inatumia kuzunguka jua
Walijuaje dunia inazunguka jua. Wakati inasemwa waliamini jua linazunguka dunia, kwa kuwa lilihama toka upande mmoja mpaka mwingine asubuhi mpaka jioni!?
 
Hivi ni sahihi nije kwako nimuite mwanao kwa kuanza na jina bikira kisa tu ana umri chini ya miaka 12
 
Ngoja kwanza, kuna maswali yakujiuliza zaidi hapa

Mwanaume alikuwa anaozeshwa binti akiwa na umri gani? Na alikuwa anaozeshwa binti aliyemzidi miaka mingapi?. Ili tupate umri wa Joseph aliyeozeshewa huyu binti bikra Maria, akiwa tayari na ujauzito.

Wakati unajibu hayo uwakumbuke watu wafuatao, Yakobo, Isaka, Abrahamu na Yesu mwenyewe ambaye hadi anafikisha mika 32 haukuwepo mchakato wa kumuozesha.

Ikumbukwe Yesu aliishi maisha ya binadamu na kama alibatizwa basi hata kuoa pengine angeweza kuoa kama asingepaa mbinguni na kuamua kubaki duniani.

Kwa hiyo hasira isiwepo ndugu zangu wakristo kwenye hili swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…