Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

Hayo mengine hayanihusu. Naomba tu uniambie hao wadigo wanatoka mkoa/wilaya gani?
 
Blaza siujui huyo mchepuko wako,ila naamini utakuwa umeishia Darasa la 7 Au Form four..Wanawake wenye Level hiyo ya Elimu wanajua kumfanya Mwanaume ujione wewe ni mwamba namba moja duniani...
 

(ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).[emoji848]
 


Hata ya kikukuta magumu "maana hakika yatakukuta" sisi ndugu zako tutakuwa na wewe kukufariji. Maneno unayoongea ni kufuru ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ