Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Natamani huo mdahalo, Nina maswali kwa Hawa waislamu
Dini yao changa iliyoanzishwa juzi na muarabu mbona imekua kero duniani.
Kwanini wanamuabu Mohamed licha ya uchafu wake wote ikiwemo kunyandua katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa
 
MBONA UNALETA UDA HAPA JF , TUNAKUSUBIRI TUKUSIKIE KULE UWANJANI , USIANDIKIE MATE NA WINO UPO

Nani anayemwabudu Muhammad ? au ndivyo mnavyodanganywa na wachungaji wenu ??

Mnayemwabudu mtu ni nyinyi aliyeandikwa kwenye biblia alikamatwa na yule kijana teenager wa kiume akiwa uchi huku chupi kaiweka begani kule kwenye vichaka vya bustani ya gesthemane saa 40 alfajiri
 
Hizo zote Sifa za Dini ya Ukweli na Ndio maana hata Yesu iliingia Hekaluni akapindua Meza za wachezesha Kamari je Hii sio Halakati?
 
Utaendeshwa kwa lugha gani huo mdahalo wa Jesus na Mohamed ?
Yoyote hata Kichina Wafuate wa Upande wako Waambie wachague Rugha wanayotaka Wao Hata Kiyunani yaani Wao tu.
 
Duniani nitaishi kikristo, mbengoniii ntaenda kuwa mslam☹️, hawa jamaa peponi wanahadi masanga 🍻🍺 yanatiririka mtoni. That's win win situation to me
Pepo Waislamu Wanaitengeneza Hapa Duniani Pepo ni matokeo ya Matendo mema ya hapa duniani Alafu ni Haramu Mkristo kuingia peponi hivyo Acha kujidanganya.
 
Ni kwa sababu ukristo hakuja nao Bwana yesu wala haujui ndio maana tunawashitua kuwa Yesu hakuja na ukristo alikuja na uislamu
Kwahiyo mnamkataa muddy kuwa hajaja na uislam ila Yesu kaja nao baada ya miaka 500+ toka apae kwenda mbinguni.

Nyie mnasikitksha sana hususani nyie msiosoma wala kujitambua. Uelewa wenu wa mambo ni mdogo sana.
 
Dini ya Mungu ni moja tu , nayo ni uislamu . Muddy ni nani mtu huyo ?+ ni babu yako ??

Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake, na yeye Akhera atakuwa miongoni mwa waliokhasirika.}} [Al `Imran 3:85]

na Anasema katika Aya hii, akituambia kwamba dini pekee inayokubaliwa Kwake ni Uislamu:

{Hakika Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.} [Al `Imran 3:19]" (Tafsir Ibn Kathir 2/25)

maneno yako wazi labda utuletee aya kutoka kwenye biblia ya kanisa lako ikisema Dini anayoikubali Mungu ni ukristo
 
Azam media ni pro islam.. chunguza tamthilia zao tu ambazo watoto wetu wanaziangalia.
Hapana niwewe tu umeamua family Yako itazame hizo tamthilia, Kuna channel inaitwa Romanza inaonesha tamthilia za kizungu na kifilipino tupu Kwa hiyo niwewe tu na machaguzi Yako usiingize udini hapo bro.
 
Pepo Waislamu Wanaitengeneza Hapa Duniani Pepo ni matokeo ya Matendo mema ya hapa duniani Alafu ni Haramu Mkristo kuingia peponi hivyo Acha kujidanganya.
Too sad, watu mnakuwa fooled for the life time, kwa kudanganywa kuna sehemu pazuri zaidi ya hapa duniani 😭😭😪. Tafuta pesa ishi duniani kama huko peponi. Kama peponi pazuri mwimbie huyo anayekwambia aende
 
Namfahamu sana huyo mtu.
Ni mtoto Sharifu.
Amepagawa majini kama yote.
Hawezekaniki kwa kukremu Aya za vitabu vya dini kwa uwezo wa Majini.
Yale Majini Maislamu.
Soma Surat JINNI yote utaelewa.
 
Namfahamu sana huyo mtu.
Ni mtoto Sharifu.
Amepagawa majini kama yote.
Hawezekaniki kwa kukremu Aya za vitabu vya dini kwa uwezo wa Majini.
Yale Majini Maislamu.
Soma Surat JINNI yote utaelewa.
Naona umekuwa msemaji wa majini😜😜
 
Too sad, watu mnakuwa fooled for the life time, kwa kudanganywa kuna sehemu pazuri zaidi ya hapa duniani 😭😭😪. Tafuta pesa ishi duniani kama huko peponi. Kama peponi pazuri mwimbie huyo anayekwambia aende
Hata wewe Ungeulizwa Kabla hujazaliwa Uletwe Duniani Ungepakataa Ungeona Tumboni Mwa Mama Ako ni Sehemu Nzuri Kuliko Zote na Ndio maana Ulilia wakati Unazaliwa kwa Kuamini Unatolewa Sehemu yenye Raha kwa vile hii Akili Yako nimeitamu kabla hujaongea .
 
Vijamaa vina akili mdogo sana na ubonafsi wa hali ya juu.
 
Pepo Waislamu Wanaitengeneza Hapa Duniani Pepo ni matokeo ya Matendo mema ya hapa duniani Alafu ni Haramu Mkristo kuingia peponi hivyo Acha kujidanganya.

Wameandika wapi
 
Duniani nitaishi kikristo, mbengoniii ntaenda kuwa mslam☹️, hawa jamaa peponi wanahadi masanga 🍻🍺 yanatiririka mtoni. That's win win situation to me
Nisamehe bure!!!!🤣🤣🤣 Nimesoma post yako leo kuhusu kumbukumbu ya Christmas ambazo huwezi kuzisahau jinsi ulivyopitiliza Ifakara kwa Bibi na baada ya kusoma hii post nimecheka sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…