Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Hapo lazima muwe na special Mission tu.. hata kwenye paragragh yako ya mwisho inajieleza
Special mission ni kumhubiri mungu mmoja tu na kuwakumbusha watu kufuata amri zake na kuacha makatazo aliyoweka, wewe ulidhani kuna nini kingine?
 
Happy Christmas

Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus

Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?

Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?

Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa

Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Waislam wasipozungumzia Yesu, hawana Tena Cha kuzuñgumza.
 
Si mfukuze tu hiyo taka,au kamateni mumrudishe kwao maana ni wanted.
Kuna swali gani la kujiuliza hapo?
 
Huyu mchochezi wa kidini waarabu walipoandaa kombe la dunia huko Qatar walimpeleka eti aendeshe midahalo ya kuwasilimisha wazungu. Matokeo yake alikutana na dada mwafrika akamtoa kamasi. Kimsingi huyu hoja zake ni za kizamani na zilishanibiwa amejichokea kama akina mazinge. Hata hivyo kwenye nchi kama bongo yenye mchanganyiko wa dini mbalimbali wanaoishi pamoja haikuwa busara kuleta huyu kutumwagia simu. Nashangaa mpaka TV ambayo ni ya matangazo kwa umma na ambayo tunailipia Kila mwezi ndio Ipo bize kumtangaxs.

View: https://youtu.be/dkb0uSYJt_0?si=XbYCYU9qqc48v7a7

Wakristo nina uhakika kama mngekuwa mnausoma Ukristo wenu, sijui kama Ukristo ungesalia katika dunia hii.

Huyu dada anaongea vitu kama mwendawazimu hivi.

Kitu kinachowagharimu Wakristo ni kutokuwa na matini ya asili ya kitabu chenu, kutafsiriwa kwa lugha nyingi kumefanya asili na maana ya maandiko kupotea, ndio kilicho mkuta huyo dada.
 
Pole sana kwa kukosa maarifa.
 
Sifahamu uelewa wako kuhusu dini, ila jamaa ni level nyingine coz ana ufahamu,uelewa,uzoefu,maarifa,elimu,ujuzi kuhusu dini zote za hapa duniani.

Hili haliji mara moja linachukua muda kidogo na hata miaka kadhaa.Jamaa huwa hapendi kubishana (sifa ya watu werevu).

Ni mwanazuoni nguli kwa waislamu na kwa mambo ya dini.Ameizunguka karibu dunia nzima, kwa level yake naona huna jipya la kumwambia.

Kwanza unaonekana una papara na mhemko najua hukosi jazba na hasira!
Huyoo naik sijuii aje kwangu
 
unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??
Wewe umeyaona wapi hayo Makanisa?
Na ulikuwa unafuata nini huko ?
Hebu sema hapa Tanzania hizo Kanisa ziko wapi ?
Kumbe wewe ni Gay... !
 
Special mission ni kumhubiri mungu mmoja tu na kuwakumbusha watu kufuata amri zake na kuacha makatazo aliyoweka, wewe ulidhani kuna nini kingine?
mungu mmoja yupi, anaitwa nani?
mungu mmoja wapo wengi sana.
Dogan ni mungu mmoja pia.
 
unaingia mitini mkuu
Tatizo mimi niki ingia kazini kuelezea dini na kuuliza maswali hua mwisho wake ni muislamu kuacha kwenda msikitini na mkristo kuacha kwenda kanisani na hata akiendelea kwenda hua aendi kwa moyo kama ule wa zamani.
 
Sawa mkuu
 
Tatizo ni ushahidi wa aya , wapi Yesu kafufua mtu ??
Mtafute shekh atakuonyesha aya ndani ya uislamu wa muhammad ni wapi alifufua..kwa nini nikujibu kwa biblia wakati aya zipo ndani ya msahafu wako ...kwa kusema yesu awezi kufufua na kusema yesu ni mtume wa mungu huoni kuwa umemwekea mpaka mungu wako wa kutenda kazi kwa kutumia mcha mungu wake ? Mtume au nabii ni mtumishi mkubwa wa Mungu hivyo kwa kusema aiwezekani mtume kufufua mfu ni sawa na kusema mungu hana uwezo wa kufufua maana mitume utenda yale tu yaliyo amliwa na mungu
 
Ndiyo aya umeleta hiyo kutoka biblia ya yesu kufufua mtu ??
 
Wewe umeyaona wapi hayo Makanisa?
Na ulikuwa unafuata nini huko ?
Hebu sema hapa Tanzania hizo Kanisa ziko wapi ?
Kumbe wewe ni Gay... !

Wewe jifanye huyajui hayo makanisa hapa Tanzania au moja ni kanisa lenu lile la mashoga la ki Pentekoste kule Mbeya ??
 
Back
Top Bottom