Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ndiyo aya umeleta hiyo kutoka biblia yako , ya yesu kufufua mtu ??Kasome mudi boy alisemaje ...maana hata mudi boy kasema yesu alifufua wafu kwa idhini ya mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo aya umeleta hiyo kutoka biblia yako , ya yesu kufufua mtu ??Kasome mudi boy alisemaje ...maana hata mudi boy kasema yesu alifufua wafu kwa idhini ya mungu
Kama huna njoo kama msikilizaji tu, kiingilio ni bureNani kakwambia mimi nina maswali?
Ntakuepo Youtube mkuuKama huna njoo kama msikilizaji tu, kiingilio ni bure
Ntakuepo Youtube mkuu
Ile dini hata wakibi peke yao Duniani bado Dunia haitakuwa sehemu salama. Kila walipo ni machafuko tu!Happy Christmas
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Kuna shida?Mwamba uko tiktok sio...
Amani kwao noIle dini hata wakibi peke yao Duniani bado Dunia haitakuwa sehemu salama. Kila walipo ni machafuko tu!
Ndiyo mafundisho ya kanisa lako?Hakujawahi kuwepo mtu anayeitwa Mohamed ambaye alianzisha uislamu. Ufalme wa muawiyaz miaka hiyo waliunda huyu mtu wa kufikiria pamoja na hiyo dini ili kuiimarisha utawala wao. Baadaye ufalme wa Ottomans ukaendeleza waliposikia muawiyaz kutumia uislamu kama dini rasmi ya serikali kuleta umoja.
D
Madhehebu ya kiislamu na Madhehebu ya kikristo yote ni dini moja kwa sababu dhehebu maana yake ni kusanyiko.la kishetani ...mungu hana madhehebu kwa sababu yeye ni mmoja nafsi moja
Unaweza kuwa unahoja sahihi, tatizo imani ikishatangulia kabla ya kufikiri ni tabu watu wa imani kukuelewa.
Ndiyo maana lugha zingine duniani kuamini haina uzito kama neno nafikiri .
Ila katika lugha yetu ya kiSwahili kuamini ina uzito mkubwa kuliko kufikiri , hapo ndipo tatizo linapokuja katika uwezo wa kufikiri linapokuja suala la imani.
Nami nimejiuliza piaSubiri kwanza, mbona kama unawashutumu ili hali wewe mwenyewe hujui dhumuni la huo mdahalo?
Kama ulisomasoma kidogo anko eEti!Miezi michache iliyopita kumekuwa na mikwaju mizito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala lankutumia lugha katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Hivyo siyo dini bali ni utaratibu jumla wa maisha wa tamaduni za wengine.
Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika ni ile hali ya chombo hiki kuwa sura ya uana harakati au upigania uhuru. Uislam ulivyo unajitanabaisha na harakati za kudai uhuru/haki maeneo mbali mbali duniani. Tofauti na tulivyokuwa tukitarajia uislam uwe kwa kuwaelekeza waumini wake kwenye maisha ya peponi baada ya haya. Wenyewe sasa wanawaendeleza maandamano na migogoro na mamlaka. Wakitaka haki na uhuru wao. Wakilazimisha sheria za nchi ambako wanaishi ziibadili sheria na kuongoza nchi hizo kwa sharia law. Kitu ambacho dini zingine hazijawahi kufanya.
Baada ya kuyaona hayo, nchi nyingi sasa hazichukulii uislam kama dini (kama waumini wake wanavyodai), bali ni mpango au chombo cha (wanaharakati cha) kupigania uhuru na haki ya waislam/waarabu kwa njia ya kipekee (exclusive right). Wanataka mahali popote wanapoishi wapewe uhuru/haki zao katika njia ambayo wengine hawawezi kupata. Wanataka wapewe special attention na mamlaka ya nchi husika. Hata kama kufanya hivyo kunaweza kwa hali au namna fulani kuathiri haki, uhuru, mamlaka na ustawi wa wengine.
Ndiyo maana mara zote nimekuwa nikiwa dhidi ya wazo la kwamba uislam ni dini. Kwa sababu nilizozitaja. Hiyo ni desturi yaani zaidi ya dini. Binafsi nawafananisha na wamasai. Wamasai licha ya kuwa wana ishi katika nchi zenye serikali yaani Jamhuri. Lakini bado wana utaratibu au namna yao ya utawala, siasa, imani (beliefs), lugha, sheria, mavazi nk. Pia jamii hii popote ikienda, lazima kuwe na msuguano na jamii walioikuta kwa kuwa siku zote wanaamini utamaduni wao ni bora kuliko wa wengine. Hili nilo mfanano dhahili wa uislam (yaani desturi za waarabu) na wamasai.
Naomba niishie hapa.
Alamsiki
Kwa hiyo huyo shekh anajua uislamu kuliko muhammad...? Maana maswali yangu mimi hata muhammad hawezi kuyajibu hata mojaunaingia mitini, uganda, kenya watu wameuliza maswali - majibu mi mpaka swali liulizwe, ila wewe unatengeneza mazingira ya kuingia mitini. Unafeli sana maana yeye anasema anapenda maswali mazito na wewe unasema una maswali mazito. Kikichobaki ni wewe kufika mkuu