Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Hapo lazima muwe na special Mission tu.. hata kwenye paragragh yako ya mwisho inajieleza
Special mission ni kumhubiri mungu mmoja tu na kuwakumbusha watu kufuata amri zake na kuacha makatazo aliyoweka, wewe ulidhani kuna nini kingine?
 
Waislam wasipozungumzia Yesu, hawana Tena Cha kuzuñgumza.
 
Si mfukuze tu hiyo taka,au kamateni mumrudishe kwao maana ni wanted.
Kuna swali gani la kujiuliza hapo?
 

Wakristo nina uhakika kama mngekuwa mnausoma Ukristo wenu, sijui kama Ukristo ungesalia katika dunia hii.

Huyu dada anaongea vitu kama mwendawazimu hivi.

Kitu kinachowagharimu Wakristo ni kutokuwa na matini ya asili ya kitabu chenu, kutafsiriwa kwa lugha nyingi kumefanya asili na maana ya maandiko kupotea, ndio kilicho mkuta huyo dada.
 
Pole sana kwa kukosa maarifa.
 
Huyoo naik sijuii aje kwangu
 
Mnawazungumzia babilon brothers 😁 afu mnabishana kweli kweli laiti mngalijua
 
unataka kutuambia wewe unaweza kusali kanisa la wasenge , Gay church au kanisa la Shetani , Satanic church ??
Wewe umeyaona wapi hayo Makanisa?
Na ulikuwa unafuata nini huko ?
Hebu sema hapa Tanzania hizo Kanisa ziko wapi ?
Kumbe wewe ni Gay... !
 
Special mission ni kumhubiri mungu mmoja tu na kuwakumbusha watu kufuata amri zake na kuacha makatazo aliyoweka, wewe ulidhani kuna nini kingine?
mungu mmoja yupi, anaitwa nani?
mungu mmoja wapo wengi sana.
Dogan ni mungu mmoja pia.
 
unaingia mitini mkuu
Tatizo mimi niki ingia kazini kuelezea dini na kuuliza maswali hua mwisho wake ni muislamu kuacha kwenda msikitini na mkristo kuacha kwenda kanisani na hata akiendelea kwenda hua aendi kwa moyo kama ule wa zamani.
 
Tatizo mimi niki ingia kazini kuelezea dini na kuuliza maswali hua mwisho wake ni muislamu kuacha kwenda msikitini na mkristo kuacha kwenda kanisani na hata akiendelea kwenda hua aendi kwa moyo kama ule wa zamani.
Sawa mkuu
 
Tatizo ni ushahidi wa aya , wapi Yesu kafufua mtu ??
Mtafute shekh atakuonyesha aya ndani ya uislamu wa muhammad ni wapi alifufua..kwa nini nikujibu kwa biblia wakati aya zipo ndani ya msahafu wako ...kwa kusema yesu awezi kufufua na kusema yesu ni mtume wa mungu huoni kuwa umemwekea mpaka mungu wako wa kutenda kazi kwa kutumia mcha mungu wake ? Mtume au nabii ni mtumishi mkubwa wa Mungu hivyo kwa kusema aiwezekani mtume kufufua mfu ni sawa na kusema mungu hana uwezo wa kufufua maana mitume utenda yale tu yaliyo amliwa na mungu
 

Ndiyo aya umeleta hiyo kutoka biblia ya yesu kufufua mtu ??
 
Wewe umeyaona wapi hayo Makanisa?
Na ulikuwa unafuata nini huko ?
Hebu sema hapa Tanzania hizo Kanisa ziko wapi ?
Kumbe wewe ni Gay... !

Wewe jifanye huyajui hayo makanisa hapa Tanzania au moja ni kanisa lenu lile la mashoga la ki Pentekoste kule Mbeya ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…