Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Sure
 
Matumizi mabaya ya muda
 
Ikawa ndio mwisho wa kufanya kazi?
 
Huo ni muhadhara sio mdahalo.
Tofauti mdahalo na muhadhara.
 
Kwa kiarabu, lugha ya peponi. Mungu hajui kiswahili.
Lugha ni njia mojawapo ya kuwaunganisha watu , ndomna Tanzania sote tumechaguliwa kiswahili kama lugha yetu mama.

Sawa na kiaarabu ni lugha ilochaguliwa kuwaunganisha waislamu duniani kote, fikiria Kila nchi ingeletewa Qur'an kwa lugha Yao umoja na kujuana Duniani ungetoka wapi!??. Kama ambazo Injili ililetwa kwa kiibreania halafu watu wakatafsiri kiswahili.

Muislamu popote aendapo Duniani anaweza kufanya Ibada zake na wenzie bila shida kwaajili ya kuwa na lugha ya asili enzi na enzi, hata akienda china Muislamu anafanya Ibada vizuri tu.
 
Mimi ni mkristo lakini nawasifu sana waislamu kwa kuendelea kutumia lugha mama ya kitabu chao. Ukriso umeharibika na kuwa dini ya kuchelesha kutokana na kutafsiri maandiko kwemnda lugha nyingine. Kila tafsiri inaendana na theological alignment ya anayetafsiri. Kama yeye anaamini Mungu ana nafsi tatu au ni mmoja tu, au lama anaamini kuna unyakuo au la basi kwenye kutafsiri atajikita huko. Na wengine hata wameongeza maneno yasiyokuwepo kwenye nakala halisi za maandiko. Congolese kwenu waislamu dumisheni lugha mama ya Quran. Wakristo sasa tuna maelfu ya madhehebu kwa upumbavu wa kutafsiri na kila dhehebu linasema lenyewe ndio la kweli!!!
 
Húna unalo lijua na ulioaswa kukaa kimya.
Qurani za Kiswahili zipo na za lugha nyingine.
Uislamu pia una madhehebu kibao.
unajua maana ya Sunni na Shia?
Ahaddiya, Ismailia nk

Ulitaka Wakristo wote tuwe dhehebu la Roma?
Wakati mwingine ni bora kunyamaza ili kutunza heshima yako ya umbumbumbu.

Hakuna Mkristo mjinga kama wewe.
 


View: https://youtu.be/pMECi3OLac0
 

aliyetamka hayo ni Allah

Chapter (15) sūrat l-ḥij'r (The Rocky Tract)​





Sahih International: And We have certainly given you, [O Muhammad], seven of the often repeated [verses] and the great Qur'an.
 

Kristo yupi ?? kama ni yesu huyo hakutumwa kwako wewe na mimi
 

kwani kwa mujibu wa biblia watu walianza kuongea lugha ipi na wapi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…