rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Sasa wewe unajali nini? Hiyo midahalo mbona ishafanyika sana hapa bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh watuchinje na nyama yake waileHawana shida, wanatamani kuipindua dunia iwe ya kiislam. Na ingewezekana kuwachinjilia mbali wote wanaokataa kusilimu.
SureAnafanya mdahalo dhidi ya nani? Wangetangaza anafanya mdharo wa Yesu VS Muhammad labda against @Cocastica au agains fulani. Huo ndio mdahalo na sio kuja yeye na kuanza kueleza kuhusu mada tajwa akiwa peke yake. Hapo wangesema ni muhadhara wa kiislam na sio kingine.
Siwez kujaHilo swali njoo uulize
Matumizi mabaya ya mudaHuo mdahalo naona unawahusu Wayahudi na Waarabu wanaowajua vizuri hao watu wao.
Kumsemea mtu wa kabila lingine wakati wenye kabila hilo wapo ni huo mdahalo kukosa mantiki.
Hapo waitwe Waarabu wanaomjua vizuri Muhammadi na Wayahudi wanao mjua ndugu yao Yesu ndio wajadiliane kuhusu hao watu wao walivyokuwa.
Ikawa ndio mwisho wa kufanya kazi?KUna kampuni niliwahi kufanya kazi kama dereva wa lori.........
Wengi walijifanya waislamu ii maisha yaende......kuna jamaa (hamood) haipiti siku yuko bize kuwatamka wakristo....kwamba wanaenda chooni bila maji....kwamba ukristo uliletwa na wazungu...kwamba dini yao ni ya kweli...kwamba waislamu wanaonewa,,,kwamba kuruani inasema wakristo wote wanatakiwa wauawe,,,,,,kwamba..Paulo kwenye Agano jipya kajivika madaraka..kajipa utume alafu Yesu akampa UUngu.....Kwamba hakuna kumpa "mkirisito"(kwa matamshi yake) Lori wakati ndugu zake waislamu wako kijiweni...siku hiyo natoka safari naingia yard nimevaa kibaraghashea na kanzu yangu namuona ustaadh anajongelea kwenye gari....kabla hajanipa salamu nikajua tu hapa nishapigwa jungu....akasema wewe shehee...kumbe ni mkirisito wewe...nikamwambia ndio....akasema njoo ofisini......
Lugha ni njia mojawapo ya kuwaunganisha watu , ndomna Tanzania sote tumechaguliwa kiswahili kama lugha yetu mama.Kwa kiarabu, lugha ya peponi. Mungu hajui kiswahili.
Mimi ni mkristo lakini nawasifu sana waislamu kwa kuendelea kutumia lugha mama ya kitabu chao. Ukriso umeharibika na kuwa dini ya kuchelesha kutokana na kutafsiri maandiko kwemnda lugha nyingine. Kila tafsiri inaendana na theological alignment ya anayetafsiri. Kama yeye anaamini Mungu ana nafsi tatu au ni mmoja tu, au lama anaamini kuna unyakuo au la basi kwenye kutafsiri atajikita huko. Na wengine hata wameongeza maneno yasiyokuwepo kwenye nakala halisi za maandiko. Congolese kwenu waislamu dumisheni lugha mama ya Quran. Wakristo sasa tuna maelfu ya madhehebu kwa upumbavu wa kutafsiri na kila dhehebu linasema lenyewe ndio la kweli!!!Miezi michache iliyopita kumekuwa na mikwaju mizito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala lankutumia lugha katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Hivyo siyo dini bali ni utaratibu jumla wa maisha wa tamaduni za wengine.
Húna unalo lijua na ulioaswa kukaa kimya.Mimi ni mkristo lakini nawasifu sana waislamu kwa kuendelea kutumia lugha mama ya kitabu chao. Ukriso umeharibika na kuwa dini ya kuchelesha kutokana na kutafsiri maandiko kwemnda lugha nyingine. Kila tafsiri inaendana na theological alignment ya anayetafsiri. Kama yeye anaamini Mungu ana nafsi tatu au ni mmoja tu, au lama anaamini kuna unyakuo au la basi kwenye kutafsiri atajikita huko. Na wengine hata wameongeza maneno yasiyokuwepo kwenye nakala halisi za maandiko. Congolese kwenu waislamu dumisheni lugha mama ya Quran. Wakristo sasa tuna maelfu ya madhehebu kwa upumbavu wa kutafsiri na kila dhehebu linasema lenyewe ndio la kweli!!!
Kumbuka kuna Sadaka anaa daliwa.Matumizi mabaya ya muda
Happy Christmas
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Hapo tutaongea kiarabu na kiebraniAUtaendeshwa kwa lugha gani huo mdahalo wa Jesus na Mohamed ?
Atakaye kuwepo aniulizie swali moja tu kwenye Qurani.
Ni nani anayeongea katika Surat Faatiha ?
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيم
(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
aliyetamka hayo maneno ni nani?

ArabicUtaendeshwa kwa lugha gani huo mdahalo wa Jesus na Mohamed ?
Sisi tukaze macho kufika Mbinguni kwa kuonesha UPENDO, ukarimu , upole ,kujali na kutokubagua, hivyo ndivyo tutakavyomuhubiri kristo,hata bila kusema watatusikia,walio bahatika neema ya utukufu wataongoka, siyo kwa kisu,upanga Wala mabomu,ila kwa kudhihirisha UPENDO,
jina Yahweh lihimidiwe wapendwa
Miezi michache iliyopita kumekuwa na mikwaju mizito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala lankutumia lugha katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Hivyo siyo dini bali ni utaratibu jumla wa maisha wa tamaduni za wengine.
Arabic