Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Uislam unatesa sana wanawake. Kwaninin wanaume wao wasiwekewe sheria za kutowatamani? Afughanistan, Taliban sasa madirisha ya jikoni yazibwe, nyumba ambazo zimeelekea eneo wanawake hujikusanya mfano kisimani madirisha yafungwe au yazibwe, wanawake hata sauti yao isisikiwe hata wakiwa jikoni, ukiacha kujifunika hadi anakuwa kituko, Kusoma ndio kabisaaa hawaruhusiwi, wala ajira.
Uislam hujaribu kupambana na dhambi kwa mtulinga ya misuli hii ya Gym wakati akili ambayo ndio inahitaji dawa inaachwa wazi. Ndio maana unajaribu kuenezwa kwa nguvu za kumwaga damu. Kama wakiacha uhuru watu wachague waabudu nani hata huu MDAHALO anayekuja nao asingepata mtu.

Kosa lingine la mdahalo huu ni kuwashindanisha ambao hawapo halafu unaweka mwingine awe badala yao.

Huu mdahalo kama hawa
Jesus of Nazaret Vs Mohammad s.w.a wangekuwepo. Hivi nani angetoboa kwa hoja za piga nikupige? Leta hoja nijibu hoja.
Kifupi Jesus ni zaidi ya Nabii, hilo neno Zaidi ya Nabii ZINGATIA.
Jambo lingine huwezi kusema Wafuasi wa Jesus Wakajibu hoja, mdahalo umeandaliwa pasipo kuhusisha upande wa pili ili waandae wanazuoni kwenda kujibu kwa hiyo atajiuliza na kujijibu mleta mada na atajipa ushindi. Ila huku kitaa wafuasi lazima tuwaburuze kama wakija kwa hoja moja moja ..
Tahadhari; Naweka angalizo. Sijasema mtu, wala kushambulia dini, ukiona kama umeshambuliwa ni mawazo yako tu, maana mimi naishi na ndugu , marafiki na jamaa wa imani hiyo kwa amani na furaha.
Hata hivyo Mungu hapiganiwwi na wanadamu bali hujipigania Mwenyewe

Na unaamini kila unachoambiwa , mateso ya wanawake yako kwa hao wanaokuambia hivyo , kwani huko wanawake wanatolewa akili na kutengeneza filamu za uchi huku wengine wakichukuliwa farasi kuwaingilia

Hebu tuiache Biblia itueleze:

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."

Mtume Muhammad SAW alikuja kwa watu wote
 
Swali zuri,
Naomba TCRA waje watujibu
Maana Kila dini inatakiwa idili na waumini wake na sio kupambanisha watu wao wanaowaamini

"KWA LENGO GANI"
Haya mambo ya kijinga tumeona yakifanyika huko kwa wenzetu tafadhali msituletee huku...
'Walioruhusu hili naomba wajitafakari tena au ikibidi wawajibishwe ipasavyo'
 
kama vile wakristo hamfanyi , mkuki kwa nguruwe kwa .........
 
Kwa taarifa yako kama Wakristo wakiamua kuukashifu Uislamu mtajivika mabomu sasa hivi.
Muhammadi na Uislamu una makando kando mengi sana na pia mnajazba.
Mtu akiichana tu Qurani hadharani mnaandamana kutaka kumwua.
Mtu akimchora Muhammadi muna andamana kutaka kumwua.
Hadi hii leo mmeshindwa kumjibu Salman Rushidie na mnamtafuta kumchinja.

Yaani dini yenu iko very sensititive ikiguswa kidogo tu mnaamrisha mauji kwa jina la Allah.

Kwetu Muhammadi si chochote bali ni kiroja cha zamani kilicho kufa na kuoza kama anavyo thibitisha mwenyewe na katu hatuwezi kukiamini Kiroja.
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ
[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Unamwaminije mtu mbumbumbu asiye jua chochote hata kusoma na kuandika tu.
Mtu kama huyo akitumwa kwangu namfukuza.

Mimi najua kusoma na kuandika na Muhammadi alitumwa kwa watu wasiojua Kusoma na Kuandika. Aya Zipo.
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهُمُمُمْ وَيُزَكِّيُمُمُمْ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
[ AL - JUMUA' - 2]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
 
Kwani Yule pope alivyokuja alienda kanisani ??

YESU ALITANGUA TORATI AU HAPANA

Bwana Yesu Kristo alisema kwamba “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati na manabii, la, sikuja kutangua bali kutimiliza kwa maana amin nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie. ”Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo na kuwafundisha watu ataitwa mdogo kabisa katika ufame wa mbinguni.” (Mathayo 5:17-19).

Tukiendelea kusoma mbele, haipiti hata dakika moja tunaona kwamba Bwana Yesu tayari amekwisha sahau aliyoyasema, na anaanza kusema kinyume kabisa na amri za Torati.

Anasema kwamba:

“Mmesikia kwamba imenenwa jicho kwa jicho, na jino kwa jino, lakini mimi nawaambieni msishindane na mtu muovu; lakini akupigaye shavu la kuume mgeuzie la pili, mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.” (Mathayo 5:38-40).

Sasa Bwana Yesu Kristo ambaye alikuja kuitimiza Torati wala si kuitangua, mara anaonekana anaanza kuzipinga amri za Torati zinazopatikana katika

“Kutoka 21:24’ Mambo ya Walawi 24:20, Kumbukumbu la Torati 29:21.”

Na hivi inaonekana kwamba ilikuwa kuna hitilafu kubwa katika maneno ya Bwana Yesu. Na mtu anachanganyikiwa kabisa kwa mafundisho yake.

Bwana Paulo ndiye mhalifu wa Yesu, Bwana Yesu alikuja kuimarisha sheria ya Taurati, lakini Bwana Paulo anaibadilisha kama alivyosema kwamba: “Maana ukuhani ule ukibadilika hapana budi sheria nayo ibadilike.” ( (Waebrania 7:12 )
 
Mnatafuta uthibitisho wa unabii kwenye Biblia iliyo chakachuliwa,msiyoiamini ili iweje?

Unaongelea biblia ipi ?? KJV, NKJV, RSB , NIV, Douay au maelfu ya biblia tofauti ?

Au biblia ipi ya kanisa lako ambalo unaona aibu kulitaja ??
 
Kwa taarifa yako kama Wakristo wakiamua kuukashifu Uislamu mtajivika mabomu sasa hivi.
Muhammadi na Uislamu una makando kando mengi sana na pia mnajazba.
Mtu akiichana tu Qurani hadharani mnaandamana kutaka kumwua.
Mtu akimchora Muhammadi muna andamana kutaka kumwua.
Hadi hii leo mmeshindwa kumjibu Salman Rushidie na mnamtafuta kumchinja.

Yaani dini yenu iko very sensititive ikiguswa kidogo tu mnaamrisha mauji kwa jina la Allah.

Kwetu Muhammadi si chochote bali ni kiroja cha zamani kilicho kufa na kuoza kama anavyo thibitisha mwenyewe na katu hatuwezi kukiamini Kiroja.
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ
[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Unamwaminije mtu mbumbumbu asiye jua chochote hata kusoma na kuandika tu.
Mtu kama huyo akitumwa kwangu namfukuza.

Mimi najua kusoma na kuandika na Muhammadi alitumwa kwa watu wasiojua Kusoma na Kuandika. Aya Zipo.
هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهُمُمُمْ وَيُزَكِّيُمُمُمْ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
[ AL - JUMUA' - 2]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
Al ahqaf -9
Usidanganye

Sahih International
Say, “I am not something original among the messengers, nor do I know what will be done with me or with you. I only follow that which is revealed to me, and I am not but a clear warner.”

Yusuf Ali
Say: “I am no bringer of new-fangled doctrine among the messengers, nor do I know what will be done with me or with you. I follow but that which is revealed to me by inspiration; I am but a Warner open and clear.”

Abul Ala Maududi
Tell them: “I am not the first of the Messengers; and I do not know what shall be done with me or with you. I follow only what is revealed to me, and I am nothing but a plain warner.”

Muhsin Khan
Say (O Muhammad SAW):”I am not a new thing among the Messengers (of Allah) (i.e. I am not the first Messenger) nor do I know what will be done with me or with you. I only follow that which is revealed to me, and I am but a plain warner.”

Kasome Isaiah 29 :11-18

And the book is delivered to him that is not learned,saying, Read this, [I pray thee]: and he saith, I am not learned.
 
Na unaamini kila unachoambiwa , mateso ya wanawake yako kwa hao wanaokuambia hivyo , kwani huko wanawake wanatolewa akili na kutengeneza filamu za uchi huku wengine wakichukuliwa farasi kuwaingilia

Hebu tuiache Biblia itueleze:

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."

Mtume Muhammad SAW alikuja kwa watu wote

Unaongelea biblia ipi ?? KJV, NKJV, RSB , NIV, Douay au maelfu ya biblia tofauti ?

Au biblia ipi ya kanisa lako ambalo unaona aibu kulitaja ??
Wewe unatumia Quran ipi chief?Hafs,Warsh,Al-Dori au Qaloon? Unajua kwamba Warsh Quran inayotumiwa Tanzania na nchi nyingine za kiarabu mpaka Saudi Arabia hairuhusiwi Morocco, Libya na Tunisia. Ukikamatwa na hiyo jela inakuhusu na unaweza hukumiwa kifo.

Unajua kwamba waislam mlikua hamna kitabu rasmi cha Quran mpaka mwaka 1924. Ashukuriwe mfalme wa misri kwa kutoa amri kwamba ichapwe na kurasmishwa na serikali. Hiyo Warsh Quran serikalini ya Saudi Arabia imekuja kuitambua rasmi mwaka 1985,in total mwaka huu Quran (Hafs) ina birthday ya miaka 100.
 
Hizo hadithi wala hazisemi hivyo , ongeza mizigo , utaibeba mwenyewe

UNAONA RAHA KUCHUKUWA HADITHI ZA UONGO NA KUTUWEKEA ILI TUKASIRIKE , KUMBE UNAJIUMIZA MWENYEWE KWANI yESU ALINUKULIWA KUSEMA

MATHEW 7:2

English Standard Version

For with the judgment you pronounce you will be judged, and with the measure you use it will be measured to you.

Hakuna haja ya kuendeleza mjadala na jitu linaabudu kijishetani kiallah
 
Wewe unatumia Quran ipi chief?Hafs,Warsh,Al-Dori au Qaloon? Unajua kwamba Warsh Quran inayotumiwa Tanzania na nchi nyingine za kiarabu mpaka Saudi Arabia hairuhusiwi Morocco, Libya na Tunisia. Ukikamatwa na hiyo jela inakuhusu na unaweza hukumiwa kifo.

Unajua kwamba waislam mlikua hamna kitabu rasmi cha Quran mpaka mwaka 1924. Ashukuriwe mfalme wa misri kwa kutoa amri kwamba ichapwe na kurasmishwa na serikali. Hiyo Warsh Quran serikalini ya Saudi Arabia imekuja kuitambua rasmi mwaka 1985,in total mwaka huu Quran (Hafs) ina birthday ya miaka 100.
Inaonyesha wewe hata warsh, , hafs hujui ni kitu gani umo umo tu 😝😝😝
 
Hata ukijichekesha ila ukweli unaujua chief,dini yenu ina simama kwenye msingi dhaifu sana. Quran ni plagiarism in worst form,imekopi kutoka kwenye Torah na agano jipya (gospel) kisha wamebadilisha story na matukio.

Mohamed alikutana na kiumbe ambaye hakuwahi jitambulisha kwake kwamba ni nani. Akarudi nyumbani akiwa amepanic akihisi amekutana na shetani 😈. Mkewe Mohamed (Hadija) anampeleka kwa ndugu yake Nofil Bin Waraq. kule ndiyo anaambiwa yule atakuwa malaika jibril sio shetani.

Malaika lazima ajitambulishe kwa mhusika,lazima anamuachia ujumbe na sio kumuacha amechanganyikiwa. Kuna uwezekano mkubwa sana Mohamed alikutana na shetani na ndiyo maana msingi wa dini yake ni kupinga ukristo.

Quran inasema Yesu hakufa msalabani,Mungu sio baba,Yesu sio mwana wa Mungu na wale wanao mwamini Yesu wamepotea. Quran imebadilisha story nzima ya maisha ya Yesu ambayo ni tofauti na kwenye zile Gospel 4. Maajabu ni kwamba yenyewe imekuja miaka 600 baadaye.

Soma hapa uone jinsi malaika wanavyo jitambulisha wakifika kwa mtu walieyemkusudia.

Luka 1:26-38​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kuzaliwa Kwa Yesu Kwatabiriwa​

26 Miezi sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alim tuma malaika Gabrieli aende katika mji wa Nazareti, ulioko Gali laya, 27 kwa msichana bikira aliyeitwa Mariamu. Yeye alikuwa ameposwa na mtu mmoja aliyeitwa Yusufu, wa ukoo wa Mfalme Daudi.
28 Malaika Gabrieli alimtokea Mariamu, akamwambia: “Sal aamu, ewe binti uliyebarikiwa, Bwana yu pamoja nawe!”
29 Mariamu alifadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, maana ya salamu hizi ni nini. 30 Ndipo malaika akamwam bia, “Usiogope, Mariamu, Mungu amependezwa na
we. 31 Sikiliza, utapata mimba, nawe utazaa mtoto wa kiume; na utamwita jina lake Yesu. 32 Mtoto huyo atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa Aliye Juu. Na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Mfalme Daudi, baba yake. 33 Atatawala juu ya nyumba ya Yakobo daima; na ufalme wake hau takuwa na mwisho!”
34 Mariamu akamwuliza malaika, “Lakini, nitapataje mimba, na mimi ni bikira?” 35 Malaika akamjibu, “Roho Mtakatifu ata kujilia na nguvu za Mungu zitakufunika kama kivuli, na kwa hiyo mtoto atakayezaliwa atakuwa mtakatifu na ataitwa Mwana wa Mungu. 36 Tena, miezi sita iliyopita binamu yako Elizabeti, aliyeitwa tasa, amepata mimba ingawa ni mzee sana. 37 Kwa maana kwa Mungu hakuna lisilo wezekana.”
38 Mariamu akasema, “Mimi ni mtumishi wa Bwana. Na iwe kwangu kama ulivyosema.’ ’ Kisha malaika akaondoka.
 
Makala iliyoandikwa na kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini cha Chuo Kikuu cha Leeds,iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Makala imeeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji.

Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi.

Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Makala iliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Inaendelea kusema zaidi:

"Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioamini yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
 
Matoleo ya Biblia ya Kingereza

Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa.

Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza…

Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901.
 
Wagalatia toeni vibanzi machoni penu kwanza
 
Attachments

  • IMG-20241230-WA0124.jpg
    IMG-20241230-WA0124.jpg
    71.6 KB · Views: 2
Makala iliyoandikwa na kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini cha Chuo Kikuu cha Leeds,iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Makala imeeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji.

Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi.

Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Makala iliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Inaendelea kusema zaidi:

"Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioamini yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
Asante kwa makala hii,sasa tutumie rula hiyo hiyo kuongelea chimbuko la uislamu. Mohamed aliacha Quran yenye sura ngapi,zenye majina gani? Nani aliamua majina ya sura za Quran? Allah, Mohamed au Uthman?

Sahih al-Bukhari 66, Hadith 9:
Pia kwanini Uthman aliamua kuzichoma Quran zingine baada ya kutengeneza standardized version ya kwake? Alikuwa na uhakika gani kwamba yake ni sahihi kuliko zile zingine? Yeye hakuwa mtume.

Kuhusu wakristo wa kwanza kuwa na misimamo tofauti ni jambo la kawaida kabisa. Kwani hata nyie waislamu baada ya kifo cha Mohamed mligawanyika makundi mawili (Suni na Shida),vita ikapiganwa mpaka ndugu wa Mohamed wakauawa .

Hata hapo Misri baada ya kutoa toleo la kwanza la hii standard Quran inayotumika (Warsh ya mwaka 1924) serikali ilitoa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilizzamishwa mto nile pamoja na zingine kuchomwa moto.

Ukiupima ukristo kwa kutumia kipimo flani basi tumia kipimo hicho hicho kupimia uislamu.
 
Tulia upate elimu bila malipo

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.

Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus."

"… Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini.

Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika… [Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King James kama itakavyokuwa… Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa idhini kwa kura ya Baraza hilo
 
Asante kwa makala hii,sasa tutumie rula hiyo hiyo kuongelea chimbuko la uislamu. Mohamed aliacha Quran yenye sura ngapi,zenye majina gani? Nani aliamua majina ya sura za Quran? Allah, Mohamed au Uthman?

Sahih al-Bukhari 66, Hadith 9:
Pia kwanini Uthman aliamua kuzichoma Quran zingine baada ya kutengeneza standardized version ya kwake? Alikuwa na uhakika gani kwamba yake ni sahihi kuliko zile zingine? Yeye hakuwa mtume.

Kuhusu wakristo wa kwanza kuwa na misimamo tofauti ni jambo la kawaida kabisa. Kwani hata nyie waislamu baada ya kifo cha Mohamed mligawanyika makundi mawili (Suni na Shida),vita ikapiganwa mpaka ndugu wa Mohamed wakauawa .

Hata hapo Misri baada ya kutoa toleo la kwanza la hii standard Quran inayotumika (Warsh ya mwaka 1924) serikali ilitoa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilizzamishwa mto nile pamoja na zingine kuchomwa moto.

Ukiupima ukristo kwa kutumia kipimo flani basi tumia kipimo hicho hicho kupimia uislamu.

Wasomi thelathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo…

Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946."

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana."

Katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, idadi kubwa ya mistari muhimu kutoka katika Toleo la King Jemes Version ya Agano la Kale na Jipya, ambayo wasomi waliiona kuwa imeongezwa katika karne za baadaye, iliondoshwa kutoka katika matini na kuwekwa katika tanbihi.

Kwa mfano, kifungu maarufu sana katika Injili ya Yohana 8:7 kinachohusu mzinzi aliyetakiwa kupigwa mawe.

Inasemakana Yesu amesema:

"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe."

Tanbihi za Toleo la King Jemes (1952) zinaeleza "Mamlaka za kale mno zinaondosha aya za 7:53 – 8:11"

Kwa kuwa mswada namba 1209 wa Vatikani na mswada wa Sinaitic ya tangu karne ya nne haina aya kumi na mbili hizo, wasomi wa Biblia wamefikia uamuzi wa kuwa maneno hayo hayatoki kwa Yesu.

Mfano mwingine ni kifungu kinachohusishwa na Yesu na kinachotumika kama ushahidi wa rejeo la Utatu katika Maandiko matakatifu.

Katika 1 Yohana 5:7, Inasemakana Yesu amesema:

"Kuna watatu wanaoshuhudia huko mbinguni, Baba, Neno na Roho Mtakatifu: na watatu hawa ni mmoja"

Msomi maarufu sana wa Biblia, Benjamin Wilson, anaandika kuwa; maandiko haya yanayohusu "ushahidi wa mbinguni" hayamo katika mswada wowote wa Kigiriki ulioandikwa kabla ya karne ya kumi na tano!

Kwa hiyo, katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, mstari huu umefutwa na kutolewa katika matini tena bila ya kuwekewa tanbihi.

Hata hivyo, ili kuwe na idadi ya mistari iliyosawa baina ya Toleo la Biblia la Revised Standard Version, na ile ya Toleo la Biblia la King James Version, warejeaji wameugawa mstari wa sita na kuwa mistari miwili.
 
Back
Top Bottom