KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwahyo kumbe ulikuwa huna PEPMIS
Sasa Tatizo liko wapi?
Bhasi anza kuitumia
Nilikuwa nimejisajili katika ESS...ambayo inabeba hiyo mifumo mingine lakini kwangu PEPMIS haikuwa inasoma .... Ukienda Kwa IT wanakwambia bosi wako, ukienda Kwa bosi anakwambia utumishi ..... Mradi hekaheka tu ..sio kesi ...Kwa kuwa Kwa Mimi natumia mifumo huu utakuwa wa nne..... So Sina hofu nao ila tu competitiveness ya wanaotusimamia ukipata changamoto nayo inakuwa changamoto kwao utatuzi unachukua muda sana.
 
Yeah ni kweli Kabisa maana TEHAMA wengi wana Tatizo sana..
Sana sana kwenye Mifumo wanataka Rushwa sana..
 
Nachukizwa na ujinga wa watanzania. Mimi siyo mtumishi wa umma lakini naelewa serikali inafanya kitu gani. Watu wavivu kujifunza mifumo mbona umeme zamani tulikua tunaenda kununua tanesco leo hii tunanunua kwa simu hamuoni mabadiliko? Stupid
Kwani huo wa kununua umeme umelalamikiwa, tumia akili hata kidogo...
 
Wanasaidia ikiwa unawapita kiwango cha mshahara, au unao ushawishi wa kubadilisha mapato yao, au kuna personal relationship, au yeye ana shida flani kwako, au kwa kuwapa hela ya soda, or something of that kind.
Hapana mkuu,mimi nilimpigia tu nikamweleza hali halisi akanisaidia.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
OPRAS yenyewe ilikuwa ni magumashi tu na hili liPEPMIS lenu litafeli tu. Kama hakuna uwezesho wa kufanya hizo kazi zinazotakiwa kufanyika unajaza nini kwenye mfumo? Time will tell.
 
Acha ubishi Kijana. Kama Mkuu wako hajakushushia majukumu yako ukifungua mfumo HUONI kitu!!!! Hakuna popote utakapojaza
 
Nachukizwa na ujinga wa watanzania. Mimi siyo mtumishi wa umma lakini naelewa serikali inafanya kitu gani. Watu wavivu kujifunza mifumo mbona umeme zamani tulikua tunaenda kununua tanesco leo hii tunanunua kwa simu hamuoni mabadiliko? Stupid
Basi ninakusamehe, kumbe ulikuwa unaleta ubishi tu kumbe wewe wala siyo mtumishi wa umma!!! Kwa hiyo muda wote unabisha na kutoa kejeli kumbe hata matatizo tunayoeleza humu huyajui!!!
 
Nachukizwa na ujinga wa watanzania. Mimi siyo mtumishi wa umma lakini naelewa serikali inafanya kitu gani. Watu wavivu kujifunza mifumo mbona umeme zamani tulikua tunaenda kununua tanesco leo hii tunanunua kwa simu hamuoni mabadiliko? Stupid
Wewe ndiye stupid kwa sababu unabisha wakati hata siyo mtumishi wa umma na hufahamu changamoto tunazopambana nazo kwenye huo mfumo.
 
Acha ubishi Kijana. Kama Mkuu wako hajakushushia majukumu yako ukifungua mfumo HUONI kitu!!!! Hakuna popote utakapojaza
Samahani Mkuu!
Naujua Mfumo Tangu Ukiwa kwenye Demo Version.. na Vizuri kwa sasa upo katika Live version (Shukurni kwa hilo) imagharimu muda wa Watu kulifanya hilo...

Kwahyo ninachokisema nakijua Vizuri sana..

Kama hukuelewa kitu niambie nikueleweshe..
Na kingine Shukrani kwa Kuniita kijana Angalau nimejisikia Vizuri maana wengi Hawaniiti Hivyo 😀😀

Kama unahitaji kueleweshwa kuhusu Mfumo Karibu Na uulize Chochote Majibu yapo hapa (Mifumo yoyote ya kiutumishi)
ASANTE
 
Kuna aliyefanikiwa kuhama Kwa kubadilishana au kutokubadilishana kituo cha kazi Kwa kutumia huu mfumo??
 
Wewe ndiye stupid kwa sababu unabisha wakati hata siyo mtumishi wa umma na hufahamu changamoto tunazopambana nazo kwenye huo mfumo.
Mimi kutokua mtumishi wa serikali usidhani sielewi mambo yanayoendelea serikalini.mimi ni mdau mkubwa sana wa serikali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
W
wako fasta ila kwenye uhamisho ni tatizo sana
 
Wiki sasa sehemu ya transfer inasoma hivi hakika wamejua kutuumiza watumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…