Mkuu Huu utani kabisa!
Kila mtu ana JD (Job Description) alizoajiriwa nazo,
Ulipewa Na Mkurugenzi wako na zipo kwenye Faili lako Zimesainiwa ..
Majukumu unayojaza ni Majukumu Sawia kama uliyokuwa unajaza Kwenye OPRAS kilichobadilika Unatakiwa kuyavunja Majukumu hayo kutoka kwenye Mwezi Hadi siku..
Ili kila siku ukitimiza Supervisor wako Athibitishe wewe kutimiza majukumu hayo..
Ili iwe vyepesi Kutrace Maksi zako kwa siku, kwa mwezi ,Kwa Robo na hata kwa Mwka wa Fedha..
Sio kitu kipya Kilikuwa kikifanywa kwenye OPRAS (Kama hardcopy) sasa kinafnywa PEMPMIS kama softcopy..
Sasa.kipi kinakushinda kuhusu Hilo?