Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
 
Jobless unaforce kula ubalozi?? Utafika huna shati. Wewe level zako ni nyota na mawinston tu
 
Pole mkuu haya maisha haya ni shughuli pevu sana.
 
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Achana na sigara mkuu
 
Wewe sio mvutaji wa kweli,mvutaji orijino anaanzia kwenye chigga(fegi) kwanza...vuta safari..
 
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Kwani sigara chakula? Acha!
 
Back
Top Bottom