Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Ukivuta jua linawaka lazma uvue nguo halafu mshipa wa ngiri unavuta sana,unawasha sigara unakutana na gogo lipo ndani ya sigara.
hahahaha! gogo tena
 
Kuna siku nilichukua embassy double click nikaitoa tumbaku yote then nikajaza weed mule mpaka ikajaa nkaishindilia vizuri ika fit in, nkaiwasha nika click ile flavor ya berry, kitu kilikua bomba sana.
 
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Kazi zipo ila ajira hakuna
 
Kuna siku nilichukua embassy double click nikaitoa tumbaku yote then nikajaza weed mule mpaka ikajaa nkaishindilia vizuri ika fit in, nkaiwasha nika click ile flavor ya berry, kitu kilikua bomba sana.
Bangi ni asali mkuu au glucose mzee utapenda,me nikiingia bar huwa nakula weed na hakuna anaesanuka.
 
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.

Kama ulikuwa hufahamu, afya ndio mtaji wa kwanza. Ukiwa na afya njema utakuwa na uwezo wa kuhangaika kutafuta ajira ya kuajiriwa au kujiajiri. Ukiwa mgonjwa utakuwa mzigo kwa ndugu na jamaa zako.

Huna kazi. Huna malengo yoyote ya kujiajiri and yet unavuta sigara. Pengine unakunywa na pombe. Usipobadilika utakuwa ni hasara kwa Taifa letu siku za usoni.
 
Watu,wamerudi kwa portsman king size 200 lakn figisu za wenye maduka wanauza 250 wakat bajet iliku jero ni portsman 2 nyota 1,
Ila kuanzia Jana wanachama wa Winston for all jero unapewa nne ila moja 150,nyox moja 150,ports 250,ubalozi 300
Inakoelekea kaya moja itakua buku
Maana hapa nipo bar 10k nmepewa safari 4 na chenji buku huku waiter akisema 200 hawana daaaaah....
 
Me nipo Yombo mkuu
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
Yombo imepakana na Kiwalani pia na Lumo, kuhusu maeneo tulivu hapo labda uje Lumo
 
Back
Top Bottom