Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Sasa kama wewe jobless na masikini uvutaji wa sigara unakupa raha gani?

Starehe nyingine waachieni wenye pesa.
 
Duh huku kwetu sukari imetoka sh elfu 2600 mpka sh 3,100
 
Wavuta fegi mna tabu sana, kuna mwanangu haipiti siku hajapiga fegi aisee.
Kwa maana hiyo daily jamaa awe na mia sijui miambili kwa ajili ya fegi.
 
Ukivuta jua linawaka lazma uvue nguo halafu mshipa wa ngiri unavuta sana,unawasha sigara unakutana na gogo lipo ndani ya sigara.
Winston ni yale makapi wanayokusanya kwa miguu baada ya sigara nyingine kutengeneza
 
Back
Top Bottom