Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Kuna jamaa aliishiwa akawa anawasha matakataka anavuta ule Moshi na maisha yalienda
 
Nimecheka mpaka baa nzima wameniangalia,winston sigara flan loko,halafu zinavutwa sana na masela
Ila zina bonge la jina......ukilisikia hilo jina unaweza kuogopa hata kuuliza bei
 
Sema wewe unaishi kiboss Sana Ubalozi ni kwa ajili ya watu walio uchumi wa kati
 
Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
Mkuu we ni kidume,kivuta embassy siyo kitu Cha mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom