Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Kipi ni hatari zaidi: kugomea Katiba mpya au bidhaa! Tujifunze kuheshimiana.
 
Mkuu hiyo app inaitwaje playstore??
 
Maamuzi ya maccm hayawaumizi Chadema tu bali Watanzania wote nchini wasio na chama na walio na vyama tia akili kichwani. Wafanyakazi, Wafanyabishara, Wakulima, graduates wote wameathirika kwa namna moja au nyingine.
Mbowe na Chadema wanapambana na CCM si kwa kutumia nguvu ya raia bali kwa kutumia unafasi wa Chama chao.

Sijui umenielewa?
 
Hujanijibu swali langu hapo juu labda kama huna majibu useme.
Mlango upo wazi kwa nini unaishi gerezani? Vipi ikiwa wewe umeshindwa kulielewa jawabu langu kwa kishindwa kuitumia tunu yako vizuri?
 
Hahaha..aiseee huwa nacheka sana ninapoona wanaharakati wa twiraaaa...hv hivyo vibint viwil..sijui sarungi na wenzake hawajaish maisha ya kitanzania halisi au? Hv wanazani watz wapo huko twitwangaaaa..ni wapuuzi sana nawaambia. Alaf hao chadema nao maisha yao yakojee..hawakai na watz halisi huko mitaani..hv mtu anatoka asubuh eti asusie beer..unajua utamu wa beer ww..etu sukar..yelewiii..alaf wanajadl upuuzi wakat watz asilimia 90 hawamo twiter
 
Hakuna kitu kama hicho.
Forum yao ilikuwa na peak ya 6k wakisikiliza wakiwemo wasiowaunga mkono.
Sasa hivi imedrop kwenye 2k. Assume wagome hao. Effect ni negligible. Shemasi siku hizi kawa dis. Ni empty set hao
 
Maamuzi ya maccm hayawaumizi Chadema tu bali Watanzania wote nchini wasio na chama na walio na vyama tia akili kichwani. Wafanyakazi, Wafanyabishara, Wakulima, graduates wote wameathirika kwa namna moja au nyingine.
Mkuu, hilo nalifahamu na kweli ulichokiandika ila kila jambo lina mahala pake.

Kwa sasa tunazungumzia kadhia iliyobeba kichwa cha huu Uzi.
 
CDM wasifanye iyo kitu,watanasa kwenye mtego wa Hoja ya ugaidi. Watu watahoji kama wamefanya haya Basi Na Hoja ya ugaidi ni kweli.

Dunia imebadilika sana Na serikali inalifahamu hilo. Ushauri Wangu kwa Cdm wajikite zaidi ktk kujibadili kimfumo Na kimuundo.
 
Mahala pake wapi tena ikiwa kauli ya kujenga kama hii inadhatauliwa na hii Serikali dhalimu!?
Mkuu, hilo nalifahamu na kweli ulichokiandika ila kila jambo lina mahala pake.

Kwa sasa tunazungumzia kadhia iliyobeba kichwa cha huu Uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…