Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

Mkuu utaniambia wakifanikiwa unikumbushe kwa hapo ni bet.
MABUNGE YA CCM HAYAZIDI 500 lakini yamepitisha tozo za miamala zinazosumbua mamilioni ya Watanzania hivi sasa, wewe unatumia kiungo gani kufikiri?
 
MABUNGE YA CCM HAYAZIDI 500 lakini yamepitisha tozo za miamala zinazosumbua mamilioni ya Watanzania hivi sasa, wewe unatumia kiungo gani kufikiri?
Kichwa cha chini.

Hebu tikisa hicho kichwa. Huenda ubongo wako ni yule wa " shake before use"
 
Hizi mambo ziko kichwani field haziwezekani milele kama ujamaa wa nyerere[emoji706]
Ujamaa tuliujaribu, na mbinu hii ya sasa ikijaribiwa tutaona effect yake.
Uchumi wa TZ unachangiwa zaidi na sekta ya huduma, Ikitokea watu hata 10000 wakapunguza spending zao hata siku mbili tu kwa mwezi, utaona shughuli yake!
 
Kwasabu chadema wapo wachache hawatofanikiwa ,labda wananchi kwa ujumla bila kujali vyama ndio hiyo kitu itawezekana kumbuka walisusia voda mpaka sasa inadunda
We huoni imejitoa udhamini wa ligi kuu
 
Mtandao wa voda una gharama kubwa watu wanakimbilia kwenye unafuu sio kwa sababu watu wamesusa
Ndio nitawashawishi hivyo hivyo waache kutumia kupanda mabasi ya wakina Abood na wapande zuberi.

Hivi unajua kwamba Zakaria magari yake watu wa Mara hawapandi kabisa yanapandwa na wageni njia ile ya mwanza- musoma na Mwanza-Sirari watu wanapamda KISIRE

Toka mwaka 2015 magari mengi ya Zakaria yapo yadi kule Tarime.
 
Mgomo bila research ni ujinga....unahamasisha kwa twitter wakati waliopo huko is less than 200k of the whole TZ population.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha...

Maneno huumba na kufanya kitu/jambo halisi kutokea...

Mfano, polisi wanasema mara kwa mara kuwa;

å wataua watu, NA KWELI WANAUA NA WATAUA WENGINE...!

å watavunja watu miguu, NA KWELI WALISHAWAVUNJA NA SASA WANAENDA KUVUNJA WWNGINE...!

Ni kama masihara hivi. Lakini uzima [uheri] na mauti [ulemavu, maumivu na kifo] vipo katika NGUVU YA ULIMI...

Ndo kusema, kwa kadiri jambo linavyorudiwa rudiwa kusemwa, basi kitu/jambo huimarika katika masikio na fahamu za watu na kisha kuwekwa ktk vitendo...

Tuchunge na kuzitumia vyema ndimi zetu kwa kunena mazuri tuyatakayo ktk maisha yetu...
 
Inawezekana mkuu,kwa sababu watuamiaji wakubwa wa Sukari kwa mfano,ni watu waishio mijini na wamestaarabika,na wengi wao ni Wapinzani.
Nature ya wana CCM wengi ni umaskini wa kutupwa na ujinga, ambao wengi wao wapo vijjini na hata Chai hawaijui,wanachojua ni kunywa uji wa ukwaju au Chumvi.
 
Wakati huo huo Yule binti Kigogo na Lisu wameshavurugana
 
Ndio mtapata tabu Sana na hoja zenu za sijui gas,sukari mara luku ,miamala haya mambo hayawahusu Vijijini,, serikali ikiwaambia tumewwka tozo watu wa mjini walipe Ili tuwajengee barabara, zahanati na maji au shule ni makofi kwa kwenda mbele .

Nyie machadema hamjui hata kuchambua bajeti za serikali,hamjui hoja za kutoka nazo mnakomaa na Katiba,nani kijijini anataka Katiba?

Kijijini hata mijini wakiambiwa wanataka walete vita wamefadhiliwa na bwana zeenu Ulaya fasta mnapuuzwa na watu..Hii nchi ina wajinga wengi haijawa tayari kwa vyama vingi,hata wanaotumia mitandao ya kijamii ni watu wa mjini kijijini hawana huo mda.
 
Mdharau MWIBA …….
 
Akili za kitoto sana hizo kwani hao chadema nchi hii wangapi mpaka ifike hatua ya kuathiri muhimu kwao kuhama nchi kama wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…